Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Tatizo team B haina plan na strategies za kueleweka.
Pili, haina wachezaji wazuri wenye vipaji na akili wa kujua kusogeza kete zao.

Tatu, hawana mfumo wa kueleweka kama Team A. Yaani Team B wanasubiri kudura au mpaka Team A wagombane jambo ambalo ni kama kusubiri jahazi pale Singida.

Nne, hawana rasilimali Fedha za kuweza kuratibu na kununua wachezaji wa kueleweka.
Kwenye utawala mapenzi sio kitu. Huwezi tegemea kushika dola au madaraka kwa mapenzi sijui kupendwa au uzalendo. Hilo Sahar. Labda pawe na sheria za usawa.

Hao mpaka wagombane sio leo. Na wakigombana bado advantage inabaki kwao.

Upande wa pili mpaka wamsubiri Mungu sio leo.
Kwa sababu ni huyohuyo Mungu ndiye aliyewapa hiyo nafasi Team A
 
Wewe huwaga unashangaza sana
WAtu wanafuatiliwa kila mahali, kiongozi mkuu amefungwa, wanachama wao wengine wamekimbia nchi wengine wanakesi ngumu za ugaidi hivi unawezaje kuwalaumu yes wanahaki ya kusubiria kudura za Mungu

Wekama unajiona unaakili ingia kwenye hii mbungi kama utakua unaanza kuishi kama digidigi na kuacha ndala

Kama unaamini unaplan b wape mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuandika na kuwatupia watu lawama
 
Wewe huwaga unashangaza sana
WAtu wanafuatiliwa kila mahali, kiongozi mkuu amefungwa, wanachama wao wengine wamekimbia nchi wengine wanakesi ngumu za ugaidi hivi unawezaje kuwalaumu yes wanahaki ya kusubiria kudura za Mungu

Wekama kama unajiona unaakili ingia kwenye hii mbungi kama utakua unaanza kuishi kama digidigi

Kama unaamini unaplan wape mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuandika na kuwatupia lawama

Nafikiri uko mbali na hii mada. Mbali sana.

Soma mada uielewe.
Unazungumzia uchama?
Huyo kwenye clip mzee wake alikuwa huko kwenye huo upande wa makesi?

Siasa hizi bado hujazijua vizuri inaonekana
 
Back
Top Bottom