Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Nafikiri uko mbali na hii mada. Mbali sana.

Soma mada uielewe.
Unazungumzia uchama?
Huyo kwenye clip mzee wake alikuwa huko kwenye huo upande wa makesi?

Siasa hizi bado hujazijua vizuri inaonekana
Wewe kama unaona hawana plan b ingia kwenye game uone lilivyo

Mimi chadema kuna mambo nawapinga ila kuna mambo siwezi walaumu ni maji marefu na wanapigana vita ngumu sana
 
Wewe kama unaona hawana plan b ingia kwenye game uone lilivyo

Mimi chadema kuna mambo nawapinga ila kuna mambo siwezi walaumu ni maji marefu na wanapigana vita ngumu sana

Mada hii haihusu CHADEMA wala CCM
Ni Team A na Team B.

Ndio nikakuuliza huyo kwenye clip aliyotuma Britannica alikuwa Chadema?
Huyo Britannica mwenyewe sio Chadema.

Soma uelewe mada.
 
Mada hii haihusu CHADEMA wala CCM
Ni Team A na Team B.

Ndio nikakuuliza huyo kwenye clip aliyotuma Britannica alikuwa Chadema?
Huyo Britannica mwenyewe sio Chadema.

Soma uelewe mada.
Team B inajulikana ni wapinzani hata kama wako ccm
Sasa unawalaumuje game ni gumu sana
Huwaga unaongea ujinga ujinga sana ilihali watu wanawindwa huko kama digidigi mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuandika

Mimi sio ccm, sio chadema au sio mwanaharakati ila fahamu game la siasa la sahivi ni gumu sana hasa ukiwa kinyume na watawala
 
Kwa hiyo mnauwa kwa maagizo ya MUNGU kama manabii !!!!!
Of course imeagizwa kujilinda, tena kwa wivu mkubwa. Taifa letu lililindwa kwa wivu mkubwa okt 29 kutoka kwa majambazi yaliyotumwa na chadema na katoliki yao kuharibu hii nchi. Pole na pumziko la amani liwafikie waliouawa kwa bahati mbaya. Damu zao zitawadhuru (na zimeshaanza) vizuri wale washenzi waliowahadaa na Sasa, being hypocrites as they are, wanajifanya eti kuwatupia lawama wale walengwa wao waliopanga kuwatoa ile okt 29. Mbaya zaidi wasivyo na haya, eti inajifanya kuadhimisha mwaka kwa kufanya ibada maalum..... kimsingi haikuwa ibada Bali ni kumbukumbu yao ya kishetani ya kushindwa kwa jaribio lao la mapinduzi okt 29.

Pongezi nyingi ziwafikie wazalendo wa hili taifa waliopambana kuhakikisha linabaki salama. Hakika Mungu atawabariki sana.
 
Mnajitahidi wenyewe kufarakanisha mambo lakini Mungu anawakataa Kila wakati. Mwenyewe, kwakuwa ana akili na Hana chuki na Samia na huyo jk kama nyie, amedokeza hapo kuwa pengine walitaka kumficha kwanza kwa sababu za kiafya ya akili n.k. Hili la kutoambiwa kwanza kifo mbona ni desturi yetu ya kawaida tu. Chokochoko za mitandao ndo hivyo zikamfikia bi dada.

Anyway, endeleeni na business yenu maana sina nilijualo kuhusu faida lukuki mzipatazo Kila mnapomtukana na kumzushia kikwete au Samia.
Mimi mwenyewe hawa wanaojiita wanaharakati sijui kwa hizi style zao kwakweli hazishawishi kabisa nashangaa jawaoni hata watu hawana mpango nao bado wanatakiwa wajifunze jinsi ya kukosoa na kutetea hoja zao.
Wao ni kama wanaattack tu nila mpangilio wowote.
 
Back
Top Bottom