britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,421
- 50,345
Hili Jambo uwa kuna sintofahamu kubwa sana Ila ndo vilee
Jiandae Ndeja kuendeleza
Jiandae Ndeja kuendeleza
Ntasema kule siyo hapa nina hint nyingine ya moto Yaan msipo kuwa makin hadi 2050 itakuwa mnaongwa kwa maelekezo ya jamaa Ila atakufa tuAisee!
Unataka kusema nini britanicca ?
Mnajitahidi wenyewe kufarakanisha mambo lakini Mungu anawakataa Kila wakati. Mwenyewe, kwakuwa ana akili na Hana chuki na Samia na huyo jk kama nyie, amedokeza hapo kuwa pengine walitaka kumficha kwanza kwa sababu za kiafya ya akili n.k. Hili la kutoambiwa kwanza kifo mbona ni desturi yetu ya kawaida tu. Chokochoko za mitandao ndo hivyo zikamfikia bi dada.Ila Kikwete hatari sana ! Tanzania nchi ya maajabu sana hata kifo cha Rais familia nayo inasoma mtandaoni?
Naona na NCHIMBI wamemweka huko sasa
Akifa ataacha mrithi au warithi wataendeleza umafia.Ntasema kule siyo hapa nina hint nyingine ya moto Yaan msipo kuwa makin hadi 2050 itakuwa mnaongwa kwa maelekezo ya jamaa Ila atakufa tu
Na vipi wewe, utabaki hai mwenzetu?!!!!Ntasema kule siyo hapa nina hint nyingine ya moto Yaan msipo kuwa makin hadi 2050 itakuwa mnaongwa kwa maelekezo ya jamaa Ila atakufa tu
Kwamba Sangwenya ulitaka iweje kwa mfano?Hili Jambo uwa kuna sintofahamu kubwa sana Ila ndo vilee
Jiandae Ndeja kuendeleza
View attachment 3715863
Mbona umeandika kwa upole sana wewe chawa, kulikoniiii??Mnajitahidi wenyewe kufarakanisha mambo lakini Mungu anawakataa Kila wakati. Mwenyewe, kwakuwa ana akili na Hana chuki na Samia na huyo jk kama nyie, amedokeza hapo kuwa pengine walitaka kumficha kwanza kwa sababu za kiafya ya akili n.k. Hili la kutoambiwa kwanza kifo mbona ni desturi yetu ya kawaida tu. Chokochoko za mitandao ndo hivyo zikamfikia bi dada.
Anyway, endeleeni na business yenu maana sina nilijualo kuhusu faida lukuki mzipatazo Kila mnapomtukana na kumzushia kikwete au Samia.
PowaYule yupo mpaka 2030. Ukiona kuna plan ya SIRI na wewe unaijua na ipo mpaka hapa JF basi jua hiyo siyo SIRI bali propaganda za mfumo kiwapumbaza watu na matumaini hewa.
Ila kweli mpaka tusikie zile nyimbo za Umelala Yoooo ndio tutaaminiYule yupo mpaka 2030. Ukiona kuna plan ya SIRI na wewe unaijua na ipo mpaka hapa JF basi jua hiyo siyo SIRI bali propaganda za mfumo kiwapumbaza watu na matumaini hewa.
😭Wakampa ubunge kumliwaza au kufunga mdomo familia