Philotheo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 730
- 983
Kuna rafiki yangu kipindi tumemaliza chuo baada ya mwaka mmoja tu akawa anasema hii kozi ifutwe tu. Baada ya miezi michache kapenya tutorial assistant, sahivi kashajipigia na Master - sahivi hayohayo masomo ndo anafundisha. Nilimuuliza vipi kozi ifutwe au ikifutwa utakosa ulaji? 😄Kwa hiyo shule zifutwe kila mtu ajisomee kivyake vyake?
Elimu inaweza kuonekana useless kama hujapata wasaa sahihi wa kuitumia vizuri, kama hujapata mazingira sahihi ila ukipata huwezi kuwaza hivyo tena. Licha ya mapungufu yaliyomo kwenye mitaala yetu, tatizo sio elemu tatizo ni fursa baada ya mtu kupata elimu