Shule zimelemaza wengi

Shule zimelemaza wengi

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
17,692
Reaction score
33,402
Siku hizi degree holders wanaranda randa mitaani tu..

Yaani watoto wanamakiza shule na vichwani mwao hata kujenga hoja na kuitetea hawawezi.

Na jinsi teknolojia inavyo kuja kwa kasi sioni kabisa umuhimu wa shule...

Paychek za ajira hazikidhi mahitaji na kuleta financial freedom..

Wenye stadi kazi za maisha na experience ya mtaa ndo wanakula mema ya nchi.

Wengi wenye vyeti wako mitaani kama mazuzu kwasababu hawana ujuzi wa maisha, akili zao zimedumazwa na kukaririshwa mavitu yasiyo kuja kuwa saidia mbeleni.

Imagine walio soma logarithms, Chand ya physics,.. Yoote hayo alafu anakuja mtaani a natakiwa a handle mahusiano, ajue namna ya kujenga familia, anapaswa kuwa na chanzo kingine cha pesa na hawezi kufanya kazi nyingine tofauti na taaluma yake?

Binafsi naona watoto waishie sekondari tu, alaf kama kuna uwezekano asomee ufundi ama field husika baada ya hapo aachane na mavitabu.

Siku hizi elimu si kitu tena... Angalieni mtu kama baba levo, mwijaku, niffer, hanscana, na wengine ambao jitihada zao tu za kuyajua maisha zimewatoa kimaisha....

Hapa siongelei Paychek tena, naongelea mtu kuyafikia mafanikio na financial freedom.

Shule (vyuo) vinadumaza. Kwanza unaingia kwenye debt ya mkopo and all that.. Alaf unasahaulishwa kabisa maisha ya mtaa sio hayo ambayo shule zinawafundisha.
 
Mm nadhan ipo haja kuwaona hawa watu waliohustle na kufanikiwa . Hasa hawa ambao hawana shule.
Kwamba wana IQ kubwa. Japo hawakuweza kwenda Shule rasmi kwa sababu kadha ya kadha.

Turudi kwenye Mada.
Ni kweli elimu yetu imejikita kuzalisha white color Job wengi wakat nafasi na kazi hizo hazitoshi watahiniwa wote.

Huu Mtaala mpya utaleta matokeo miaka 10 ijayo.
Sio Mbaya. Better later than Never.
 
Mtaala uje ukalete matokeo tayari game itakuwa occupied..

Yaani hii nchi ina catch up baada ya mechi kuisha
 
Elimu ni ufunguo wa maisha, inakupa maarifa namna ya kuishi ya jamii !

Usikariri utaajiriwa ..... wewe kama ulisoma ukakosa kazi unapiga debe kutwa Juani Pole sana ! Watoto wako usiache kuwapa elimu, elewa sio lazima usome uajiriwe
Sijui hata Umesoma uzi?

Wewe ndio wale wazee wanao amini hekima ya maisha iko shuleni! Basi endelea kuamini.

Nimeajiriwa ila naona ujinga tu, maana unafanya kazi for a paycheck to cover bills alone
 
Kuikwepa hii Rat race inahitaji uwe umejiandaa kweli kweli.

Na kuangalia maisha yako na familia kwa miaka 20 mbele. Wakati huo huo unaishi leo na kuandaa Kesho.

Ninajua ww hupend hizi kazi za Kuajiriwa. Kazi za Ndio boss.
Ila kuchomoka huku na kwenda upande ule na Kufanikiwa inahitaji ujiandae na uwe makini na dhabiti.

Sio pepesi hata kidogo.
Na pia uanze mapema.
ili upate muda wa kusimama kama ukianguka.
 
Siku hizi degree holders wanaranda randa mitaani tu..

Yaani watoto wanamakiza shule na vichwani mwao hata kujenga hoja na kuitetea hawawezi.

Na jinsi teknolojia inavyo kuja kwa kasi sioni kabisa umuhimu wa shule...

Paychek za ajira hazikidhi mahitaji na kuleta financial freedom..

Wenye stadi kazi za maisha na experience ya mtaa ndo wanakula mema ya nchi.

Wengi wenye vyeti wako mitaani kama mazuzu kwasababu hawana ujuzi wa maisha, akili zao zimedumazwa na kukaririshwa mavitu yasiyo kuja kuwa saidia mbeleni.

Imagine walio soma logarithms, Chand ya physics,.. Yoote hayo alafu anakuja mtaani a natakiwa a handle mahusiano, ajue namna ya kujenga familia, anapaswa kuwa na chanzo kingine cha pesa na hawezi kufanya kazi nyingine tofauti na taaluma yake?

Binafsi naona watoto waishie sekondari tu, alaf kama kuna uwezekano asomee ufundi ama field husika baada ya hapo aachane na mavitabu.

Siku hizi elimu si kitu tena... Angalieni mtu kama baba levo, mwijaku, niffer, hanscana, na wengine ambao jitihada zao tu za kuyajua maisha zimewatoa kimaisha....

Hapa siongelei Paychek tena, naongelea mtu kuyafikia mafanikio na financial freedom.

Shule (vyuo) vinadumaza. Kwanza unaingia kwenye debt ya mkopo and all that.. Alaf unasahaulishwa kabisa maisha ya mtaa sio hayo ambayo shule zinawafundisha.
Unajifariji?? Nenda shule ukasome ili uache kupigana bar, kutembea na wanafunzi wa secondary, kuropoka matusi katika vijiwe vya draft na kuwahonga pesa Police kila unapokamatwa unapokuwa umejisaidia ukutani.

Pull na Push maana yake ni nini katika mlango wa ofisi??
 
Na bado kuna wazee huko vijijini wanaona fahari mtu kumiliki degree
Wewe si ulikuwa unajifanya msela ukaacha shule kidato cha 2 kisa mibangi. Leo unakuja kumlilia nani hata. Yaani baba Levo anayetamani kubeba mimba ya mwanaume mwenzake Diamond, eti ndio role model wako?? Hakika wewe Una Akili Kubwa Sana.
 
Unajifariji?? Nenda shule ukasome ili uache kupigana bar, kutembea na wanafunzi wa secondary, kuropoka matusi katika vijiwe vya draft na kuwahonga pesa Police kila unapokamatwa unapokuwa umejisaidia ukutani.

Pull na Push maana yake ni nini katika mlango wa ofisi??
Bado una mindset za wazee wa miaka ya 60
 
Back
Top Bottom