Shule zimelemaza wengi

Shule zimelemaza wengi

Elimu na pesa ni mambo mawili tofauti lakini ni njia nyepesi kupata pesa
Nikola Tesla alikufa kapuku
Lkn tajiri now hadi 10 wote ni wenye elimu
Pesa za madili na rushwa zisifanye kudharau elimu
Msukuma anaweza kua tajiri na mbunge lkn kamwe hawez kua dokta, mwalimu au injinia lkn msomi yeyote anaweza kua kama msukuma
Unaweza kuwa doctor, engineer au msomi usiye na akili pia...
 
Shida sio kutibiwa na nani shida ni kupata huduma iliyo bora...

Angalia jinsi wachina walivyo liteka siko la dunia?

Most of them train themselves without needing degrees, na hata mchina ukienda kufanya kazi kwake haangalii una degree ama masters, ana angalia execution ya kazi yako..

Kama ni unatoa boko wewe elimu yako haina maana, je unaweza kuwa creative?
Unajua kuna mambo yanahitaji mtu akae darasani zaidi ya miaka mitano au kumi ndipo ayaelewe.

Na mfano halisi ni udaktari.

Mwili wa binadamu na mifumo yake, huwezi kuuelewa kwa kusoma miezi miwili mitatu.

Unahitaji kusoma vitu vingi sana kwanzia mfumo wa damu, mishipa, mifupa, mfumo wa chakula, neva, ubongo, moyo, mapafu na viungo vingine vyote.

Bado uje usome madawa na virus.

Hapo unaona kwamba inahitajika miaka mingi sana ya mtu kukaa darasani.

Tukija kwa watu wa careers kama computer engineering na Software engineers. Lazima ukae darasani muda mrefu ujifunze mifumo ilivyo. Sio suala la one month or two month

Kwa hiyo kuna kazi lazima uwe na qualifications ambazo uthibitisho wake ndio kutunukiwa degrees.

Ili utambulike kwamba uko well qualified na kazi hiyo.
 
H
Uwongo. Pathological liar.
Ujaajiriwa popote.
Halafu hata na wewe ni mzee. Hauko kwenye hiyo age ya 20s kama unavyodanganya watu humu.
Wewe uko kwenye late 50s. Na kwa kweli hakuna shida yoyote kuwa mzee mwenye umri wa kustaafu, acha kupangia watu maisha. Ishi maisha yako! Ya wengine yanakuuma nini?
HUyu ndo Chiwawa? 😂
 
Ndo hawa wa kina Kiranga na logical fallacy zao, wapuuzi sana
Kama huyo elimu yake iko kwenye kuuliza na ubishi ,kama mjinga tupu hataki kusikiliza wenzie ..Kuna moja pale bungeni lilikuwa kazi yake kupiga kelele ,yaani hoja yake tu linataka isikilizwe ila wenzie anawaona hawana .

Yaani alikuwa mjinga sana ,akianza kuongea hata hata ustaarabu ni kelele tu, kwa sasa kanyolewa kipara.
 
We ni kichaa na kurudisha ignore list kuliko kwako Pumbavu zako
Hakuna kichaa kama wewe humu JF,naona tundu linakuwasha muda wote,unanibabaikia sana,mara ignore mara sijui utoe ignore,ndio maana hata ulipoachika kwa mumeo ulikua unajirudisha kwake ili mrudiane ila akakukataa.
 
Kama huyo elimu yake iko kwenye kuuliza na ubishi ,kama mjinga tupu hataki kusikiliza wenzie ..Kuna moja pale bungeni lilikuwa kazi yake kupiga kelele ,yaani hoja yake tu linataka isikilizwe ila wenzie anawaona hawana .

Yaani alikuwa mjinga sana ,akianza kuongea hata hata ustaarabu ni kelele tu, kwa sasa kanyolewa kipara.
Hawa jamaa wenye ma vyeti huwa ni kama wamelemazwa na elimu zao uchwara
 
Mm nadhan ipo haja kuwaona hawa watu waliohustle na kufanikiwa . Hasa hawa ambao hawana shule.
Kwamba wana IQ kubwa. Japo hawakuweza kwenda Shule rasmi kwa sababu kadha ya kadha.

Turudi kwenye Mada.
Ni kweli elimu yetu imejikita kuzalisha white color Job wengi wakat nafasi na kazi hizo hazitoshi watahiniwa wote.

Huu Mtaala mpya utaleta matokeo miaka 10 ijayo.
Sio Mbaya. Better later than Never.
Matokeo ya mtaala mpya ni bomu litakaliripuka hamtaamini matokeo yake
 
Unajua kuna mambo yanahitaji mtu akae darasani zaidi ya miaka mitano au kumi ndipo ayaelewe.

Na mfano halisi ni udaktari.

Mwili wa binadamu na mifumo yake, huwezi kuuelewa kwa kusoma miezi miwili mitatu.

Unahitaji kusoma vitu vingi sana kwanzia mfumo wa damu, mishipa, mifupa, mfumo wa chakula, neva, ubongo, moyo, mapafu na viungo vingine vyote.

Bado uje usome madawa na virus.

Hapo unaona kwamba inahitajika miaka mingi sana ya mtu kukaa darasani.

Tukija kwa watu wa careers kama computer engineering na Software engineers. Lazima ukae darasani muda mrefu ujifunze mifumo ilivyo. Sio suala la one month or two month

Kwa hiyo kuna kazi lazima uwe na qualifications ambazo uthibitisho wake ndio kutunukiwa degrees.

Ili utambulike kwamba uko well qualified na kazi hiyo.
Mkuu sio hivyo unavyo fikiria...

Kazi nyingi hasa za tech huwa zinajulikana kwa kufanya..

Na sio mpka mtu aingie darasani, kuhusu madaktari hapo naweza niaikubishie kabisa.

Ila yote kwa yote opportunities za ajira ni ratio ndogo sana kati ya watu 100 ni mtu mmoja ndo anapata. So huwezi kusema hao 99 waende Lee kupotea muda shuleni wakati wanaweza kwenda kujitolea na kupata stadi kazi mtaani wakajia tajiri wenyewe
 
Kwa hiyo shule zifutwe kila mtu ajisomee kivyake vyake?
 
Ni kweli... Ahsante kwa kuliona hilo.
Mtu anamiza chuo leo, anawaza alipwe mshahara wa milioni mbili!
Thats impractical.
 
Back
Top Bottom