La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 973
- 1,933
- Thread starter
- #41
ulijuaje nashukuru kwa kumtambua mwenzioBila shaka wewe chupa limeamka na chai

pia wapo wanaume wenye tabia za ushetaniumeniwahi kwakweli atakuwa mwanamke mana wanawake wamerithi tabia yote ya shetani
Shetani hana jinsia
UNakurupuka kunijibu kwa AIkwamba d
ak 5 ulikuwa hujasoma???????????????
shetani anajulikana kwa vitabu vya wagiriki?
Cc shetani nimemwelezea kama ungu alivyoniambia
hapa gusa hapa
Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT
kwa majibu mengine
Kwa mujibu wa mafundisho ya kiroho na kidini, Shetani si mwanamke wala mwanaume wa kibinadamu, bali ni kiumbe wa kiroho (kama malaika aliyeasi au roho chafu) ambaye hana jinsia ya kibinadamu kama watu wanavyozaliwa. [1, 2]
Jinsi Shetani anavyofafanuliwa
Kwa kifupi, jinsia ya uanaume na uanamke ni sifa za viumbe vya kimwili/kibinadamu, ilhali Shetani anachukuliwa kuwa kiumbe cha kiroho. [1]
- Kiumbe wa kiroho: Katika maandiko ya kidini, Shetani huelezwa kama kiumbe cha kiroho au mshitaki/mdanganyifu, si mtu mwenye mwili wa kiume au wa kike. [1, 2]
- Matumizi ya lugha ya kiume: Katika lugha nyingi (ikiwemo Kiswahili na tafsiri za maandiko), viwakilishi vya kiume hutumika kwa mazoea ya kisarufi kumrejelea, lakini hilo halimaanishi ana jinsia ya kiume ya kibinadamu.
- Mitazamo ya kijamii na utani: Katika mazungumzo ya kawaida au mitandao ya kijamii, watu husema "Shetani ni mwanamke" au "Shetani ni mwanaume" kwa utani, hasira, au kuelezea tabia na vishawishi wanavyokutana navyo maishani, si kama ukweli wa kijinsia. [1, 2, 3, 4]
Hapa naona bora nifungue uz mwingn nielezee hayakwenye ushetan anapewa mwanamke lakini kwenye uungu anapew mwanaume kwanini
Yp ndio maana shetani anapenda kuwatumia WanawakeI am impressed. I am very impressed you have learned this
Nimemjibu hivi pia
Do you know meaning of serpent?kwamba d
dk 5 ulikuwa hujasoma???????????????
shetani anajulikana kwa vitabu vya wagiriki?
Cc shetani nimemwelezea kama ungu alivyoniambia
hapa gusa hapa
Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT
kwa majibu mengine
Kwa mujibu wa mafundisho ya kiroho na kidini, Shetani si mwanamke wala mwanaume wa kibinadamu, bali ni kiumbe wa kiroho (kama malaika aliyeasi au roho chafu) ambaye hana jinsia ya kibinadamu kama watu wanavyozaliwa. [1, 2]
Jinsi Shetani anavyofafanuliwa
Kwa kifupi, jinsia ya uanaume na uanamke ni sifa za viumbe vya kimwili/kibinadamu, ilhali Shetani anachukuliwa kuwa kiumbe cha kiroho. [1]
- Kiumbe wa kiroho: Katika maandiko ya kidini, Shetani huelezwa kama kiumbe cha kiroho au mshitaki/mdanganyifu, si mtu mwenye mwili wa kiume au wa kike. [1, 2]
- Matumizi ya lugha ya kiume: Katika lugha nyingi (ikiwemo Kiswahili na tafsiri za maandiko), viwakilishi vya kiume hutumika kwa mazoea ya kisarufi kumrejelea, lakini hilo halimaanishi ana jinsia ya kiume ya kibinadamu.
- Mitazamo ya kijamii na utani: Katika mazungumzo ya kawaida au mitandao ya kijamii, watu husema "Shetani ni mwanamke" au "Shetani ni mwanaume" kwa utani, hasira, au kuelezea tabia na vishawishi wanavyokutana navyo maishani, si kama ukweli wa kijinsia. [1, 2, 3, 4]
Na kajua kabisa mkonge wa Shetani hautikisiki.kwa Waislamu.
Quran inasema Shetani ni miongoni wa majini. Na ameumbwa na moto.
na Quran inasema kuna majini wanawake na majini wanaume.
Hivyo Shetan wa kwenye Quran ana jinsia.
Sasa huyu mwenye IQ kubwa La gioconda ameenda mbali na kuhisi labda Uncle Shetani ni Gay.
Maana amewezaje wezaje kumuacha pisi kali , bibi yetu Hawa tena akiwa uchi kabisa na tunavyoambiwa . Hawa alikuwa pisi kweli kweli 😂😂😂😂
Kwamba umeshindwa kusema alipotajwa Shetani kuwa ni mwanaume?Wewe unaweza kumhubiria shetani mpaka aokoke bila kujua kwamba ni mwanaume?
Alijulikana jinsia yake kipindi anasilimishwa.