La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 952
- 1,862
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣 kichwa kingine hikiAli silim, sasa angekuwa mwanamke angeshaolewa mke wa 10.
ulijuaje hayo unayosema
🤣🤣🤣 kichwa kingine hikiAli silim, sasa angekuwa mwanamke angeshaolewa mke wa 10.
Mkuu mbona unashusha hadhi ya ubongo wako!Ali silim, sasa angekuwa mwanamke angeshaolewa mke wa 10.
ni mawazo tu yamenijiaBila shaka alikuwa Me japo sina ushahidi wa kutosha, ila mkuu umewaza nini?
Mkuu mbona unashusha hadhi ya ubongo wako!
Nimeuliza hivi
Ni sehemu gani imeandikwa kuwa Shetani ni mwanaume?
toa ya moyoniAise
Shetani hana jinsiatoa ya moyoni
Wewe unaweza kumhubiria shetani mpaka aokoke bila kujua kwamba ni mwanaume?Mkuu mbona unashusha hadhi ya ubongo wako!
Nimeuliza hivi
Ni sehemu gani imeandikwa kuwa Shetani ni mwanaume?
umejuajeShetani hana jinsia
Nimehisiumejuaje
According na Quran.Shetani hana jinsia
I am impressed. I am very impressed you have learned thisMWANAMKE
SHETANI NI FEMININE IN NATURE
kwenye ushetan anapewa mwanamke lakini kwenye uungu anapew mwanaume kwaniniMWANAMKE
SHETANI NI FEMININE IN NATURE
Mwanamke
dk 5 ulikuwa hujasoma???????????????I am impressed. I am very impressed you have learned this
Nimemjibu hivi pia
Kumewahi kuwepo na sects za Kiyahudi na Kikristo zinazosema Hawa na Shetani walizini wakamzaa Cain.kama shetani ni jinsia ya kiume ilikuwaje akakutana na mwanamke mtupu kwenye bustani ya edeni na kumshawishi kula tunda pekee kwanin hakumpa ushawishi kwa mambo mengine au shetan naye sio rizki (gay)🤣🤔