Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu.
Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk
Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike...
Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo.
Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana.
Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu.
Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke.
Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.
1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia.
2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida
3. Nlisema Wayebus...
Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone
Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia
Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia...
Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats.
Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara...
Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako
Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0?
Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili...
Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na zaidi namna anavyomtendea mwanamke aliye naye.
1. Vile alivyo
Tabia na utu wa mwanaume vina nafasi...
Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu?
Je, mwanaume anatafuta mwanamke anayemheshimu, anayempa amani, anayejua kuwasiliana vizuri na anayebaki naye wakati...
Thamani yako kwake inategemeana na Kiasi cha hofu aliyonayo. Asipokuwa na hofu atakutreat vyovyote atakavyoona inafaa. Haya ndiyo mambo utakayoyafanya Kukusaidia uweze Kumtengenezea hiyo hofu.
1. Muoneshe wanaume wanaokutaka wanamzidi yeye. Hii haitakiwi Kwa kiburi wala dhihaka, bali Kwa namna...
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi...
Asalaam waleyikum wanajamvi!
Wakuu poleni na kazi na hongereni, malengo yetu nikufikisha pato la trilioni 1 kama taifa hivyo tusiache kuchapa kazi
Wakuu nilikuwa na mahusiano na mdada huyu mrembo hatari ila baada ya misiguano ya hapa na pale tulishia kuachana huku chanzo ikiwa ni mimi fast...
Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao.
Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.