mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kupoteza thamani zao, kisa Wali date na kuoa wanawake wajinga. Mr kweka tayari anaingia hatiani na kuteswa watoto wake kisa mwanamke mpuuzi. Unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi wanaume tunajisahau sana. Mwanamke sio mauwa kama wasemavyo walimwengu...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania GwajiBoy : Kuvunjika Kwa Ndoa wa Kulaumiwa na mwanaume Kwa kushindwa kumuongoza Mwanamke.

    My Take Haya wadau mnasemaje?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usipande gari ambalo nauli yake haumudu from Day 1 >the end

    Haya makosa wanaume walio wengi wanayafanya pasipokujua mlipuko wake upo,na lazima ulipuke 1. Epuka "Fake Life" (Maisha ya Sifa) Wanaume wengi wanapoanza mahusiano, ili kumvutia mwanamke, hujifanya wana uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uhalisia wao. Wanatoka nao kwenye hoteli za gharama kubwa na...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
  6. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke. Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu? Monetary doctor.
  7. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia. Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania KAJALA: SIPATI MWANAUME, HAPANA NAPATA ILA NIKIWA NA HARMO NAKUA NA AMANI SANA

    Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI SANA na una ona kawaida acheni tu kataa ndoa, na mashoga mtupishe kidogo, Kwa nini unarudiana na...
  13. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke na mwanaume amezaliwa na mwanamke, lakini....

    Hakuna mwanaume na mwanamke aliye zaliwa na mwanaume....🫠
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

    MWANAUME ANAYESEMA WANAWAKE NI WABAYA NI YULE ALIYESALITI AKILI YAKE. YAANI AMBAYE HAKUTUMIA AKILI YAKE VIZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Silaha namba moja ya mwanaume ni Akili. Kwa sababu bila Akili mwanaume hawezi kuwa mtawala. Hata uwe na pesa kiasi gani, cheo kikubwa vipi. Kama...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

    mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi.. Moja kwa moja kwenye mada. suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha...
  16. Patrice Diounis

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanaume hayana tofauti na Nyeti zake

    Kama zilivyo nyeti zetu Hazijawahi kuwa ngumu au kukakamaa hadi pale wazo la mwanamke kuja kichwani au mwanamke aje laiv laiv.
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

    Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa. Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini? Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa? Je, ndugu zangu naona...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Miyorgirl: Mwanaume maskini ujue hata akili hana siwezi kuwa naye

    Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...
  19. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Mwanaume pambana Kwa akili usisikilize sana walimwengu

    Habari zenu . Tafuta maisha bora taratibu na Kwa heshima,jasho halali linalika na linaleta furaha kuliko rundo la mapesa ya dhulma. Hata ukiwapa masikini mafungu ya Mali za dhulma bado haiondoi ukweli kwamba hutaishi Kwa amani. Siku nyingi sana,tuliwahi piga dili ,naam dili tukiwa watu...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kila moyo wa kike kuna nafasi ya Mwanaume. Hivyo hivyo kwa Wakike

    Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani. Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje. Tuishi na watoto kwa upendo. Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa. Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni. Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu. Kwa...
Back
Top Bottom