Imenivutia Kwa kweliDada mmoja aliyekuwa drug dealer kwa miaka 20 ana amua kuachana na michongo hiyo haramu.
Anaanza maisha mapya akijishughulisha na biashara ya uuzaji wa michoro.
Inatokea siku wateja watatu wanahitaji kununua mchoro wake mmoja.
Jackie anaamua kumchagua mteja mmoja wa kumuuzia huo mchoro na wale wengine wakiondoka patupu.
Katika wale wawili waliokuwa rejected kuna kijana mmoja anapatwa na hasira kwasababu ya kiburi cha pesa na namna alivyokuwa na uhitaji wa huo mchoro anaona hiyo kwake ni dharau.
Kijana huyo anaamua kukodi kundi la wauaji wamuwinde huyo Jackie na wamuue.
Kwenye harakati za kumuwinda, Jackie anajikuta anapoteza watu wake wa karibu kwasababu wamekuwa ni target na link ya kumpata.
Wapo marafiki ambao wana msaliti kwa kupokea hongo na hiyo ikamfanya badala ya kuanza kukimbia na kujificha akaona na yeye atumie ukatili wake wa zamani akiwa drug dealer kuwawinda mmoja baada ya mwingine awamalize.
Bila shaka nimesimulia kwa kifupi.
kuna huyo serial killer kakamatwa kisha kawekwa kwenye hizi hospital za wagonjwa wa akili, (alikuwa anazika watu wakiwa hai),Ikoje mama hii series
Hii mimi naisubirie hadi December 24 itapokamilika ndio niianze.Hivi ni kweli hakuna mtu anafuatilia NOCTURNE..!??
Nitawachapa sasa..!!
Terminal list the dark wolfDuh "zero zero zero" ,"the blood hounds"
Hii inaonesha ni Kali Asante sana mamakuna huyo serial killer kakamatwa kisha kawekwa kwenye hizi hospital za wagonjwa wa akili, (alikuwa anazika watu wakiwa hai),
imagine he can get into your head mpaka akamfanya mfungwa mwenzie aliyeko next room akajitoa uhai wake mwenyewe na anawasiliana naye kupitia tu sink la kunawia hawafahamiani hata sura, he is such a manipulator mpaka akaweza kuwatumia baadhi ya wafanyakazi wa hapo hospital kutimiza baadhi ya malengo yake ndani na nje ya hospital,
Ikatokea siku one of his victims wa 3 years back akapatikana akiwa hai, alitorokaje kutoka mafichoni haijulikani, walitekwa huyo kijana mdogo na dada yake, watu wakapigwa na butwaa, kama muhusika kakamatwa tayari how comes kuna matukio yake bado yanaendelea huku nje, ni yupo na accomplice ama kuna mchezo anacheza, maana kuna muda serial killer anaonekana humo ndani kuna vitu anafanya vinatia mashaka,
so ukawa ni mchakamchaka wa kumsaka dada mtu, maana bado hajulikani alipo, kuna mpelelezi alikuwa anafuatilia hiyo case baada ya hao watoto kutopatikana akastaafu kwa ku feel guilty, ikabidi arudi tena kazini kumalizia kiporo aliacha miaka hiyo, huyo mpelelezi ana goddaughter (binti wa partner wake) ambaye pia ni askari, binti ana force kuwa undercover kwenye hiyo hospital ili awe karibu na huyo serial killer na aweze kuchunguza ni kitu gani hasa kinaendelea, binti anafanikiwa kuingia as UC, lakini mind you, anapoteza communication device aliyopewa, so she has to work blindly..!
na alionywa awe makini, that serial killer can get into your head, hapo hospital kuna mfanyakazi mgeni naye kashaanza ingizwa kwenye mfumo na serial killer, binti aliyetekwa 3 years back bado hajulikani alipo na kama yupo hai ama la, mfanyakazi wa hospital aliyekuwepo kabla ya huyo mgeni katekwa yeye na familia yake, katekwa na nani..!? anajua siri zipi.!? serial killer yupo ndani lakini anachezeshaje michezo yake huko nje..!? is there another person anaendeleza matukio.!??
kuna maswali mengi sana hayana majibu bado, ila hiyo ndiyo NOCTURNE..!
Halfu ni mnafiki sanaKwenye Mobland kuna mama anaitwa Maeve
Ana roho mbaya sijapata kuona
SPECIAL OPS ni balaaaa chifuNdugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile 😤😤
Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
LinkView attachment 3709352
Mzigo upo hewani 🔥
Link
Pamoja Mkuu naishusha hapa..wengine tko mapumzikoni tunalea vijana 😀 😀 😀YTS - The Official YTSTV Series Torrent Download
YTS TV is an official home of ytstv torrents to watch series online and download torrent and magnet links.ytstv.cc
Mi nikiangalia ep ya kwanza na ya pili sijaelewa bado nafuta season nzima sitaki kuangalia vitu havielewekini ile maji ukiyavulia nguo, unamalizia Series huku unailaani..!
Nimetoka kuangalia episode 2View attachment 3709352
Mzigo upo hewani 🔥
Nikiona mbaya sana ndiyo naacha ila kama inavumilika nitakaza nijijibu tu baadhi ya maswali moyo uridhike..!Mi nikiangalia ep ya kwanza na ya pili sijaelewa bado nafuta season nzima sitaki kuangalia vitu havieleweki
Story inaelekeana na black birdkuna huyo serial killer kakamatwa kisha kawekwa kwenye hizi hospital za wagonjwa wa akili, (alikuwa anazika watu wakiwa hai),
imagine he can get into your head mpaka akamfanya mfungwa mwenzie aliyeko next room akajitoa uhai wake mwenyewe na anawasiliana naye kupitia tu sink la kunawia hawafahamiani hata sura, he is such a manipulator mpaka akaweza kuwatumia baadhi ya wafanyakazi wa hapo hospital kutimiza baadhi ya malengo yake ndani na nje ya hospital,
Ikatokea siku one of his victims wa 3 years back akapatikana akiwa hai, alitorokaje kutoka mafichoni haijulikani, walitekwa huyo kijana mdogo na dada yake, watu wakapigwa na butwaa, kama muhusika kakamatwa tayari how comes kuna matukio yake bado yanaendelea huku nje, ni yupo na accomplice ama kuna mchezo anacheza, maana kuna muda serial killer anaonekana humo ndani kuna vitu anafanya vinatia mashaka,
so ukawa ni mchakamchaka wa kumsaka dada mtu, maana bado hajulikani alipo, kuna mpelelezi alikuwa anafuatilia hiyo case baada ya hao watoto kutopatikana akastaafu kwa ku feel guilty, ikabidi arudi tena kazini kumalizia kiporo aliacha miaka hiyo, huyo mpelelezi ana goddaughter (binti wa partner wake) ambaye pia ni askari, binti ana force kuwa undercover kwenye hiyo hospital ili awe karibu na huyo serial killer na aweze kuchunguza ni kitu gani hasa kinaendelea, binti anafanikiwa kuingia as UC, lakini mind you, anapoteza communication device aliyopewa, so she has to work blindly..!
na alionywa awe makini, that serial killer can get into your head, hapo hospital kuna mfanyakazi mgeni naye kashaanza ingizwa kwenye mfumo na serial killer, binti aliyetekwa 3 years back bado hajulikani alipo na kama yupo hai ama la, mfanyakazi wa hospital aliyekuwepo kabla ya huyo mgeni katekwa yeye na familia yake, katekwa na nani..!? anajua siri zipi.!? serial killer yupo ndani lakini anachezeshaje michezo yake huko nje..!? is there another person anaendeleza matukio.!??
kuna maswali mengi sana hayana majibu bado, ila hiyo ndiyo NOCTURNE..!
Black Bird tukio lilikuwa lishamalizika kufanyika wanataka tu confession, kwenye Nocturne matukio yanaendelea like nobody’s business..Story inaelekeana na black bird