Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu, hatimaye nimeimaliza hii series muda huu.

Ni nzuri nimeipenda ila sijafurahishwa na character ya Nero humo ndani.

Amekuwa mtu mzembe mzembe na anayependa usnitch, haaminiki kwenye kauli zake, hajui kulipa fadhila.

Alinikera kitendo cha kumsaliti mtoto wa Council kwa exchange ya Farasi and the worst part ni pale alipotoa taarifa kwa yule Bishop akiwapa onyo kuwa wanampango wa kuja kuvamia.

Ngoja tuone season 2 itakuwaje
Mkuu kwenye hii series Nero ambaye ndio star wa hii series kapewa character ya bad man huo ndio utofauti na utamu wa series ulipo, movie nyingi starring anachorwa kama mtu mwema kwa upande wangu wapo sahihi sio kila movie inabidi ukariri itakuwa hivi pale ambapo movie inakuwa tofauti na kile anachotaka kitokee ndio utamu wenyewe sasa.Ukiachana na yote hayo Nero alikuwa anasababu za kufanya hivyo japo alichagua kufanya kwa njia ngumu;

1. Alimuuza yule mtoto wa mfalme kwasababu alikuwa anataka urahisi wa kuondoka na mwanae lakini pia alikuwa anajua kikosi cha Mfalme kitakuja kumuokoa huyo Binti wa mfalme ndio maana akafanya huo usnitch ili apige jiwe mbili kwa wakati mmoja sio kweli alikuwa na Nia mbaya.

2. Alitoa huo mpango kwa bishop kuwa anavamia kwa kujua kwamba akivujisha hiyo taarifa walinzi wa pale ikulu watatumwa kuwasaka ndipo watapata upenyo wa kuingia ikulu kwasababu walinzi wakulinda watapungua itakuwa kwao rahisi kuwashughulikia walinzi waliobaki.
 
1C7827E7-CED8-482C-BF2E-AEFE3323D389.jpeg
 
Kwenye MOBLAND season 2 episode ya 8 kuna hii sura inatokea anajiita MAD DOG sasa nilivyoona hii sura nikasema mbona Kama naijua kuja kuangalia kumbe ni dogo MERLIN 😂😂😂
Mad Dog ni Merlin..!??😁😁
Mobland wana siri sana, basi kisasi cha kuuawa baba yake kitaenda kuwa serious mno..!🙌🏾
 
Hili wiki inabidi nikimbize sana series ambazo sijazikamikisha nizimalize maana madude yanayotarajia kuachiwa ni mengi.

Ijumaa inatarajiwa kuachiwa Season 2 ya Presumed Innocent.

Kupitia hii FIFA break nitumie fursa ya kukimbiza hii Kill Jackie ambayo nimebakiza episode 3.

Baada ya hapo nitacheki kama Paris has Hallen imekamilika ili nimalizie maana niliishia episode ya 4
 
Hili wiki inabidi nikimbize sana series ambazo sijazikamikisha nizimalize maana madude yanayotarajia kuachiwa ni mengi.

Ijumaa inatarajiwa kuachiwa Season 2 ya Presumed Innocent.

Kupitia hii FIFA break nitumie fursa ya kukimbiza hii Kill Jackie ambayo nimebakiza episode 3.

Baada ya hapo nitacheki kama Paris has Hallen imekamilika ili nimalizie maana niliishia episode ya 4
Paris has Hallen ipo full nimebahatika kuimaliza naanza na Apollo has fallen nayo iko full.
Mkuu Kill Jackiee imekaaje hiyo?
 
Paris has Hallen ipo full nimebahatika kuimaliza naanza na Apollo has fallen nayo iko full.
Mkuu Kill Jackiee imekaaje hiyo?
Nilikuwa nakusudia hiyo hiyo ndio maana nikasema season 2

Kill Jackie kuanzia episode ya 5 na hii ya 6 ambayo nipo naiona imekosa seriousness.

Kuna matukio ambayo binafsi nikianza kuyaona kwenye series huwa yananikata stimu ya kuzidi kuiangalia katika excitement ile ambayo nilianza nayo hapo mwanzo.

Ngoja nione nitafika wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom