Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Ps

True blood
Vikings ( my favorite TV series out there )
Banshee
The walking dead
Bansheee asee n nzuri sana nmekumbuka 2016 huko
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Narcos asee wazee wa madawa.
 
IMG_1889.jpeg


Hii kila siku nilikuwa naipuuzia, ni kali sana, unayependa plot twists za murders hii ni yako!
 
Daaah kweli Mkuu, ningeiona hii review yako pengine ningefanya maamuzi ya kutoicheki maana huwa sipendi kuona katikati ya igizo watu wanaigiza tena.

Rate ya 7.1 ndio iliyoniponza ila nimeimaliza kigumu hivyo hivyo.
ni ile maji ukiyavulia nguo, unamalizia Series huku unailaani..!
 
Nilikuwa naangalia the crown niliumia kwenye kipengele cha kifo cha princess Diana na mpenzi wake ukizingatia ni story ya kweli.
 
Online entertainment has become a popular way for people to enjoy their free time. Many viewers like exploring different genres, discovering interesting stories, and keeping up with new releases. Those who enjoy watching films can explore platforms that provide movie-related content and entertainment options. People looking to watch movies online may also discover different movie categories and find content that matches their interests.
 
Hii series story yake ikoje kwa kifupi
Dada mmoja aliyekuwa drug dealer kwa miaka 20 ana amua kuachana na michongo hiyo haramu.

Anaanza maisha mapya akijishughulisha na biashara ya uuzaji wa michoro.

Inatokea siku wateja watatu wanahitaji kununua mchoro wake mmoja.

Jackie anaamua kumchagua mteja mmoja wa kumuuzia huo mchoro na wale wengine wakiondoka patupu.

Katika wale wawili waliokuwa rejected kuna kijana mmoja anapatwa na hasira kwasababu ya kiburi cha pesa na namna alivyokuwa na uhitaji wa huo mchoro anaona hiyo kwake ni dharau.

Kijana huyo anaamua kukodi kundi la wauaji wamuwinde huyo Jackie na wamuue.

Kwenye harakati za kumuwinda, Jackie anajikuta anapoteza watu wake wa karibu kwasababu wamekuwa ni target na link ya kumpata.

Wapo marafiki ambao wana msaliti kwa kupokea hongo na hiyo ikamfanya badala ya kuanza kukimbia na kujificha akaona na yeye atumie ukatili wake wa zamani akiwa drug dealer kuwawinda mmoja baada ya mwingine awamalize.

Bila shaka nimesimulia kwa kifupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom