Series (Special thread)

Series (Special thread)

December
 
Attachments

  • E2DA46C3-FCA5-4316-B09E-B4781CA4A1C7.jpeg
    E2DA46C3-FCA5-4316-B09E-B4781CA4A1C7.jpeg
    117.6 KB · Views: 6
Series: Nero the assassin

Hii ni series ya kizungu za kifalme kama vile Merlin inahusiana na jamaa mmoja yeye amekuwa ni askari muuaji ambaye amekuwa akipewa mishe hizo na mfalme Sasa inatokea anageukwa na mfalme anatakiwa auliwe baada ya mdada mmoja mchawi kuungana na mfalme ili damu yake itumike kumuongeza nguvu za kichawi huyo mdada na sharti lazima huyo mtu asiwe na mtoto Sasa wakati wanampango wa kumuua huyo kijana wa mfalme wanagundua huyo mtu ana mtoto Sasa kazi inakuwa ni kumtafuta Kwanza huyo mtoto auliwe then aje baba yake ili Hilo lengo litimie.

NB: Ni series Kali sana kuanzia mpangilio wa story, Kuna action nzuri mapanga yakutosha humo Mimi sio mpenzi sana aina hizi za series ila hii nimeikubali rukeni nayo utamu wa movie inaanzia hapa.
 
Ilinishinda japo actions zake nilizipeenda.

Sababu ya kunishinda ni zile magic sijui mnaita uchawi uchawi na vitu kama hivyo
 
Merlin niliipenda sana na ndio series pekee ambayo nimeirudia.

Labda pengine kwasababu ya gape ya muda na ku skip baadhi ya episode, maana mara ya kwanza niliangalia ilikuwa ni 2011 nikaja kuirudia mwaka juzi.

So kama ina maudhui yanarokaribiana na ile nitaicheki.

Hizi za kichawi huwa zinahitaji ufundi wa story kunifanya niwe convinced. Kuna moja imetoka juzi nikaona ipo on trending nikaivamia lakini ikanishinda nimeishia nusu.
 
Huyo huyo
Mobland na gentlemen ni series nzuri sana.

GANGS OF LONDON NA CONTINENTAL FROM JOHN WICK'S WORLD SIJUI WALIPOTELEA WAPI ni series ninazo zikubali sana. Zinatufundish maana halisi ya familia na namna ya kulinda maslahi ya familia kwa namna yoyote ile.

Wengi huitana familia wakikukitana kufinya ugali mezani. Ila likikufika jambo wana mute

Kibongo bongo familia za hivyo zipo ila ni chache sana.
 
Hii hiko moto uchawi wake ni wa kawaida na ni watu wawili tu ndio wenye nguvu za kichawi the rest kuanzia starring na wengine hawana ni nzuri Mimi sipendi series za kifalme ila hii imenikosha hasa storyline yake na mkono wa humo ndani
 
Ilinishinda japo actions zake nilizipeenda.

Sababu ya kunishinda ni zile magic sijui mnaita uchawi uchawi na vitu kama hivyo
Mbona uchawi wake ni wa kawaida sana na imetumika sehemu chache sana wewe ipe muda kuitazama maana ina story nzuri sana
 
Niliicheki muda tu ilipo toka sijui miaka miwili nyuma au mmoja huko sikumbuki. Jamaa anagonga kichapo kweli. Ila niliishia njiani
 
Mobland na gentlemen ni series nzuri sana.

GANGS OF LONDON NA CONTINENTAL FROM JOHN WICK'S WORLD SIJUI WALIPOTELEA WAPI ni series ninazo zikubali sana. Zinatufundish maana halisi ya familia na namna ya kulinda maslahi ya familia kwa namna yoyote ile.

Wengi huitana familia wakikukitana kufinya ugali mezani. Ila likikufika jambo wana mute

Kibongo bongo familia za hivyo zipo ila ni chache sana.
Nime google ni megundua ni mwenyewe
1793806081586.png

Kwenye Movie uliyoweka cover yake
1793806170371.png
 
Mobland na gentlemen ni series nzuri sana.

GANGS OF LONDON NA CONTINENTAL FROM JOHN WICK'S WORLD SIJUI WALIPOTELEA WAPI ni series ninazo zikubali sana. Zinatufundish maana halisi ya familia na namna ya kulinda maslahi ya familia kwa namna yoyote ile.

Wengi huitana familia wakikukitana kufinya ugali mezani. Ila likikufika jambo wana mute

Kibongo bongo familia za hivyo zipo ila ni chache sana.
Gangs of London nadhani iko jikoni

Ila Gentlemen sijui kwanini ilinishinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom