Safi sana Mheshimiwa John Heche!

Safi sana Mheshimiwa John Heche!

Huyu ndiye Rais anaechukiwa na wananchi wake wengi kuliko ma Rais wote duniani ....wakati kuwaongoza wa Tanzania ni rahisi sana yani kashindwa kabisa kuimba wimbo wanaoutaka bali akaamua kuwa Rais wa kikundi cha wachache
 
Bado haiondoi ukweli kuwa samia ni rais wa Tanzania!!
Na linawauma hilo balaaa ndo maana ya mihangaiko yao yote hii unayoiona. Walifikiri ni fala fala wakataka eti 'kumpindua' wenyewe okt 29; walichokutana nacho ******* hawa hawatosahau. Kujipoza na machungu ndo hivi wanakuja na vinyuzi vyao vya ajabu ajabu kama hivi.......eti hajamwita Raisi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

SSH 2030 hiyooooo, mapunga nyie!!
 
Huyu ndiye Rais anaechukiwa na wananchi wake wengi kuliko ma Rais wote duniani ....wakati kuwaongoza wa Tanzania ni rahisi sana yani kashindwa kabisa kuimba wimbo wanaoutaka bali akaamua kuwa Rais wa kikundi cha wachache
Anachukiwa na chadema na TEC, sio wananchi wa Tanzania. Rekebisha kauli, wengine Wala hatuna shida nae. Na sababu yenu kubwa ya kumchukia ni kule kushindwa kwenu kumtoa ikulu okt 29 kwenye Yale mapinduzi yenu yaliyofadhiliwa na katoliki (sehemu ya mavuno) na chadema........mna hasira hatari na kushindwa kwenu.
 
Na linawauma hilo balaaa ndo maana ya mihangaiko yao yote hii unayoiona. Walifikiri ni fala fala wakataka eti 'kumpindua' wenyewe okt 29; walichokutana nacho ******* hawa hawatosahau. Kujipoza na machungu ndo hivi wanakuja na vinyuzi vyao vya ajabu ajabu kama hivi.......eti hajamwita Raisi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

SSH 2030 hiyooooo, mapunga nyie!!
Hongereni sanaaaaaa. Hakika mmeweza sana maana sio kwa damu zile mlizomwaga. mnatakiwa kupongezwa sana ushindi wenu kiboko asilimia 98 na damu juu hadi za watoto. hongereni mpo juu kileleni mmelowa damu chepechepe. hongereni sana
 
Heche ni mwanaume haswaa!tokea pande za Tarime .kanifurahisha sana kwa msimamo ..."eti mwenyemgogoro anaandaa mazungumzo ya mariadhiano"
 
Hongereni sanaaaaaa. Hakika mmeweza sana maana sio kwa damu zile mlizomwaga. mnatakiwa kupongezwa sana ushindi wenu kiboko asilimia 98 na damu juu hadi za watoto. hongereni mpo juu kileleni mmelowa damu chepechepe. hongereni sana
Ahsante sana, aisee Kwakweli wazalendo walifanikiwa kuilinda nchi. Nashukuru kwa pongezi zako kwa niaba yao.
 
Anachukiwa na chadema na TEC, sio wananchi wa Tanzania. Rekebisha kauli, wengine Wala hatuna shida nae. Na sababu yenu kubwa ya kumchukia ni kule kushindwa kwenu kumtoa ikulu okt 29 kwenye Yale mapinduzi yenu yaliyofadhiliwa na katoliki (sehemu ya mavuno) na chadema........mna hasira hatari na kushindwa kwenu.
Hii kweli nilifanya tathimini ya kina ukikuta wa 20 ,15 watamuongelea vibaya . Ukikuta wa 10 ,8 katiyao wanamuongelea vibaya hasa katika mikoa mingi sana kidogo anaungwa mkono Pwana ,Tanga ,Morogoro na Singida napo ni kwa asilimia chache sana . Wengi wao wanaona hayuko karibu nao kwa kuwatatulia changamoto zao mojakwa moja ... sio siasa ni kweli ndugu yangu .
 
Massive big up for staying on code.

Jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Mheshimiwa John Heche mara kadhaa alimtaja Samia kwa majina yake tu.

Hakutaja rais wala dokta. Kamtaja Samia Suluhu Hassan tu.

Mheshimiwa Heche kanifurahisha sana.

Samia siyo rais na wala siyo dokta. Machawa pigeni ngumi ukutani halafu mkimaliza mnaweza kunitafuta niwapige makonzi.

Muuaji asiye na sifa za kuitwa Rais au dokta, aitwe kwa majina yake tu.


View: https://youtu.be/PrtS8B8uPiA?is=Dvmlaqc9m9oLoV4U

Ngoja wakuzingire
 
Hata JK hakutambuliwa, JPM hakutambuliwa leo Samia, kifupi toka vyama vingi vianze hakuna siku kuna Rais aliyetambulika.

Sauti ya Mtanzania,
Ndani ya viunga vya Khost - Afghanistan.
 
Sababu za kipumbavu kabisa!

Mtu aliyeua hadi watoto wadogo siwezi kumpenda.

Mpaka leo hii watoto aliowapiga risasi wanaendelea kufa na hata pole kwa wafiwa hatoi.

Sina mahaba ya kipumbavu.

Fkuc her.
Dah!!
Kumbuka hukumu ni juu ya MUNGU mwenyewe.
 
Hata wa Cote de Ivore Anaitwa rais. Issue sio kuitwa, issue ni umeupataje huo urais.
Sasa umebadili mjadala. Unachokisema hapa bila shaka waungana nami kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Suala la kapataje huo Urais huo ni mjadala mwingine kama tu ilivyo kwa Traore wa Sierra Leone
 
Buffoonery of Woolgathering

In the mean time....FAFO
1795638254447.jpeg
 
Watu wanavyotaabika kuandaa tasnifu zao ili kuweza kutunukiwa hadhi ya u doctorate then wengine wanakuja kutunukiwa kizembe zembe hii ni mbaya sana
 
Massive big up for staying on code.

Jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Mheshimiwa John Heche mara kadhaa alimtaja Samia kwa majina yake tu.

Hakutaja rais wala dokta. Kamtaja Samia Suluhu Hassan tu.

Mheshimiwa Heche kanifurahisha sana.

Samia siyo rais na wala siyo dokta. Machawa pigeni ngumi ukutani halafu mkimaliza mnaweza kunitafuta niwapige makonzi.

Muuaji asiye na sifa za kuitwa Rais au dokta, aitwe kwa majina yake tu.


View: https://youtu.be/PrtS8B8uPiA?is=Dvmlaqc9m9oLoV4U

Bila UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Maridhiano hayana maana.
 
Back
Top Bottom