But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
chadema
furaha
hadharani
hechejohnjohnheche
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mpaka
mwanachama
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
pekee
taifa
umma
HAKUNA MAJADILIANO BILA KIONGOZI WA CHAMA KUWA NJE, HAIPO - HECHE
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema hawataingia majadiliano yoyote huku kiongozi wao akiwa ndani ya gereza, "hakuna majadiliano bila kiongozi wetu kuwa nje, haipo"
Ujumbe kwa wazee wa strategic engagement.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amewataka Wafuasi wa chama hicho kuendelea kuwa imara na kutokubali kugawanywa kwa maneno.
Akizungumza leo, Novemba 6, 2026, katika Makao Makuu ya CHADEMA, Heche amesisitiza umuhimu wa umoja na kuendelea kupambana, huku akiwashukuru Mawakili kwa kazi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amezungumza leo Novemba 6, 2026, kufuatia hukumu ya miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Heche amesema Lissu amesisisitiza kuwa hakuna kupiga magoti mbele ya uovu.
Soma pia Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Jihn Heche pamoja na Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu wahudhuria katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho...
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.
Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa...
Ahsante sana John Heche, kwa kweli wewe ni mwalimu. Yaani unaeleza kwa lugha rahisi sana hadi watoto wadogo wanakuelewa. Hii shule ingetolewa miaka mitano iliyopita hakika sasa hivi nchi ingekuwa tayari imeshakombolewa. Keep it up a good work
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Oktoba 22, 2026 akitokea Katesh - Manyara kuelekea Singida amewashangaa wanaosema kuwa anatumia lugha ngumu kuzungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu huku akisema Mwenyekiti wao amepewa kesi ya kusingiziwa kisa anatafuta mabadiliko ya Katiba, pia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu ulioelezwa na kuonekana kutokea katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya...
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba...
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?
Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi
Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking?
Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili?
Je,
ukiwatazama...
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati na mwanachama mwanzilishi wa chama hicho, Acquilin Magalambula, amesema amesikitishwa na ziara zinazoendelea kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika Kanda ya Serengeti.
Magalambula ameeleza kutoridhishwa na kauli...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).
Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi.
Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
Akizindua tawi la CHADEMA pamoja na Ofisi za Kanda ya Kaskazini katika eneo la Elerei Jijini Arusha, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho kimekaribia mwisho katika harakati zake za kisiasa kukiondoa chama alichodai ‘kimewatesa’ kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.