Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai.
Msikilize Heche
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kuhusu vyombo vya dola kuwa mali ya CCM.
Heche amesema kauli hiyo ni nzuri na kwamba inaweza kusaidia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema kuwa kasi ya ujenzi wa reli nchini imekuwa ndogo akilinganisha na kipindi cha utawala wa Wajerumani.
Heche amesema kuwa katika kipindi cha miaka 19 na zaidi, Mjerumani aliweza kujenga njia za reli kutoka Dar...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa iwapo Serikali haitakuwa tayari kuheshimu demokrasia, chama hicho kitachukua hatua za kuishinikiza Serikali.
Heche ameyasema hayo leo, Oktoba 1, 2026, wakati akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Tarime...
Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote.
Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha.
Vyombo vya ulinzi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema amemsikia Kenani Kihongosi akieleza nia ya kufanya mdahalo naye, huku akisema angependa kwanza kujua walipo Polepole na Nchimbi.
Heche amesema: “Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi. Nikimuuliza Polepole na Nchimbi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche leo alikuwa kwenye mkutano mkubwa akizungumza na wananchi wa Shinyanga Mjini. Katika mkutano huo wanachi wengi walijitokeza na kusikiliza kinachozungumzwa kutoka kwa kiongozi huyo
Mjukuu wangu John Heche, nenda kamwambie Lissu arudishe chama cha watu alichoiba
Akimaliza kurudisha akaunde chake
Si sahihi kuchukua mali za watu, njia sahihi ni kutafuta zake
John Heche wewe nikijana mwerevu nenda haraka sana kashughulike hilo
Hakikisha kimerudishwa kabla ya January 2027...
15 September 2026
Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15
LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA
https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50
Hon. John W. Heche speaking at the World Democracy Day Celebrations, held today, September 15, 2026...
Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka.
Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
Shahidi John Heche tayari amewasili mahakamani, ni siku nyingine tena tunaendelea kupambana na kesi ya uhaini ya Mh. Tundu Lissu aliyopewa na Jamhuri
Kaa tayari kwa updates
=======
Leo September 15, 2026
Last time tuliishia Sehemu ya 417
Sehemu ya 418
Majaji wameingia muda huu hapa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani...
Saa 3 kamili asubuhi , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche amefika mahakamani kuulizwa maswali ya Dodoso na Mawakili wa Jamhuri
Kaa tayari kwa updates
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu ameingia mahakamani muda huu
========
Leo September 14, 2026
Last time tuliishia Sehemu ya 408 so...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya...
Shahidi wa nne ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, Septemba 9, 2026 amekamilisha sehemu zote za utetezi wake.
Mapema leo baada kesi kuanza mawakili wa Serikali waliendelea na maswali...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja
Soma pia...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani.
Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, ameibuka na kudai kuwepo kwa "mipango miovu" inayoratibiwa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa zamani wa chama hicho kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA.
Akizungumza leo Agosti 29, 2026, katika Makao Makuu ya Chama, Heche...
John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA.
Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.