That_Big_MAN
Member
- Oct 28, 2026
- 94
- 176
Oh. Ok. I never thought of this. Mwanamke mwenye kisukari kumbe jiko haliwaki sana nilidhani ni sisi wanaume tu mnara hausomi.Obviously na yeye ni muhanga ili apunguze stress za kuridhisha mtu!
Oh. Ok. I never thought of this. Mwanamke mwenye kisukari kumbe jiko haliwaki sana nilidhani ni sisi wanaume tu mnara hausomi.Obviously na yeye ni muhanga ili apunguze stress za kuridhisha mtu!
Wote ngoma droo, cha kufia nini!Oh. Ok. I never thought of this. Mwanamke mwenye kisukari kumbe jiko haliwaki sana nilidhani ni sisi wanaume tu mnara hausomi.
Unatafuta mshangazi...
😅Wote ngoma droo, cha kufia nini!
Sote tukiwa na changamoto moja yenye kufanana ni nzuri sana kwa upande wangu ,control ya chakula ,mazoezi pia sote tutaimba wimbo wenye beat na instrument moja .... nimesharudia sana kuelezea ilo sijui kwann sieleweki ?Oh. Ok. I never thought of this. Mwanamke mwenye kisukari kumbe jiko haliwaki sana nilidhani ni sisi wanaume tu mnara hausomi.
Sikua nimeona maelezo yako so, sikukusudia kibaya kaka. Niwie radhi.Sote tukiwa na changamoto moja yenye kufanana ni nzuri sana kwa upande wangu ,control ya chakula ,mazoezi pia sote tutaimba wimbo wenye beat na instrument moja .... nimesharudia sana kuelezea ilo sijui kwann sieleweki ?