The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
baba
binti
kijana
kumuweka
kuoa single mother
malezi ya single mother
mkemke wangu
mtoto
mtoto wake
pongezi kwa single mothers
single
single mother
single mothers
wake
wangu
watoto
Yani
Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa.
Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe.
Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano.
Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi...
Lisu ni Icon
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
Mapenzi hayaishi bhana na wala mtalaka hatongozwi....hata kama umeachana na mke wako Bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako hata uoe mwanamke mwingine mzuri zaidi yake.
Lazima utakuwa na Griefing haiwezi kuisha kamwe.
Zaid alikuwa na mke anaitwa zainab. Alikuwa mrembo kupindukia.
Siku moja muhmd akaenda kumtembelea zaid, akamkuta zainab akiw katika mavazi ya kuvutia, akashindwa kujizuia na kumchukua zainab huku zaid akiruhusu hilo.
Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.
Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.
Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana...
Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri.
Dada wa Msuya akauliwa,
J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa.
Super Sami aliuwawa, Wakafungwa na kuhukumiwa Kunyongwa, Leo Wameachiwa
Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo...
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine?
Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu.
Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi.
Katika baadhi ya mila za sherehe za kijadi, wanaume wa jamii hiyo hujitokeza wakicheza ngoma wakiwa uchi au wakiwa wamevaa mavazi...
Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani.
Hii imepelekea kuwa na watoto hapa na pale, ingawa sijutii kuwa na watoto 15+, kwa sababu najua hawa watakuwa faraja pale...
Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi
Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!!
Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini)
Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili.
NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE.
Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto...
Ni kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida.
Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo.
Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.