mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kumtelekeza mke

    Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

    Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni *Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji *Ukiomba game anasema amechoka Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

    Kwa wengi wetu mahusiano ya kwanza kuyaona na kuyaishi ni yale ya wazazi wetu. Je, ukipewa mwenza ambaye anafanana kitabia, kiakili, kiuchumi n.k na mzazi wako utafurahi? Kama jibu ni ndiyo, kwanini? Kama jibu ni hapana, ungependa awe tofauti kwa namna gani? Asante na siku njema!
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  8. msomania1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
  9. DEFENDAX

    JamiiForums Tanzania MKE ANAHITAJIKA

    Nahitaji mke alie serious kuna mke dini awe Muislam miaka asizid 24 mimi umri wangu ni miaka 29 niko serious Nahitaji mwenza wa maisha 🥀 mwenye Uhitaji na mwenye sifa hizo aje DM.
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

    Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi) Matokeo...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Talaka ni kwa tajiri, kwa Masikini Utasikia Mke alikimbia

    Palac anakuambia kwamba, Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini ndo maana talaka ni kwa matajiri maskini utaskia mke alinikimbia.🤣🤣
  13. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
  14. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Msomi mwenye shahada ya uamivu achizika kisa kufiwa na mke

    Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo. Haija julikana kama Kuna kitu kipo NYUMA ila tatizo lilianza kutokana na msongo wa mawazo kisa mkewe. Ni msomi wa...
  15. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilipokuwa natembea na mke wa mtu

    Watanganyika msidanganyike Zanzibar ni nchi ina sifa zote za kuwa nchi tujipange kudai taifa letu la Tanganyika, Zanzibar wana rais, bunge, mahakama zao, vitambulisho vyao vya taifa lao, wana taasisi zao za kiserikali, wana haki nyingi wakiwa huku Tanganyika kama kununua ardhi, kuwa viongozi...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kununua Hayana Amani Kama Kuwa na Mke Wako

    Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa karibu na mwanamke lazima gharama ihusike tendo linakuwa kama kazi ya kulipia huduma badala ya...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mke adaiwa kumuua mumewe kwa sindano yenye sumu

    Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali. Taarifa iliyotolewa Mei 26, 2026 kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe...
  18. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

    Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda. Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake

    Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake Samsoni na Delila Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22 Samsoni ni nani Siku moja, Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. Watu wa Gaza...
Back
Top Bottom