LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,142
- 14,196
Tumsaidie jamaa yetu, ndio lengoWe umeshindikana🫢
Tumsaidie jamaa yetu, ndio lengoWe umeshindikana🫢
Mtafutue mtu mwingine bana acha zakoTumsaidie jamaa yetu, ndio lengo
Roho mbaya haijengi, kama kuna maisha si nam connect tu, kwani shida iko wapi?Mtafutue mtu mwingine bana acha zako
Shida huioni kabisa?? Una changamoto! Simpendi ex wangu wala sijui alipo ila siwezi kumpa mtu ile takataka hata kama nimeichoka hivyo!Roho mbaya haijengi, kama kuna maisha si nam connect tu, kwani shida iko wapi?
Ahahahahahahahahahahah.Shida huioni kabisa?? Una changamoto! Simpendi ex wangu wala sijui alipo ila siwezi kumpa mtu ile takataka hata kama nimeichoka hivyo!
Shida sio kumuonea huruma hata kama unampenda huwezi kumgawia mtu, yani umemchukuliaje kwanza🤔Ahahahahahahahahahahah.
Kwahiyo hapa nitakua namuonea Jf member mwenzetu 😂😂
Na ushuuda Wenye pumu wanaheshima na upendo sana mkuu ..usiku akikunyima gem unawasha fen speed ya kimondo......
Ahahahah...basi sawa, hapo nimekupata tajiriShida sio kumuonea huruma hata kama unampenda huwezi kumgawia mtu, yani umemchukuliaje kwanza🤔
Ujitahidi ukimpata ujue kuhandle na stress zao za early menopause maana uwa inawapeleka ngijanginjaNatafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
🤣🤣 hili swali lako sijui kwanini limenichekesha sana. Unauliza as if jamaa ametanganza nafasi za kazi🤣🤣🤣Mkuu mwenye hiv vipi?
Si ndio we unahisi hapo ametangaza nini🤣 fursa hizo tunapita nazo😎🤣🤣 hili swali lako sijui kwanini limenichekesha sana. Unauliza as if jamaa ametanganza nafasi za kazi🤣🤣🤣
😅. Najaribu kupata majibu ila sipati, why mtu atafute mke mgonjwa wa kisukari?Si ndio we unahisi hapo ametangaza nini🤣 fursa hizo tunapita nazo😎
Obviously na yeye ni muhanga ili apunguze stress za kuridhisha mtu!😅. Najaribu kupata majibu ila sipati, why mtu atafute mke mgonjwa wa kisukari?