natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Natafuta Quant Developer..

    Natafuta Programmer mwenye ujuzi mzuri wa mathematics/ Data science na uelewaa kuhusu investments, as Quant developer
  2. M

    Natafuta mwanamke wa kuishi Nae. Seriously

    Natafuta Mwanamke wa kuishi nae , Natafuta mwanamke wa kuishi nae serious, awe na miaka 25+, awe dar around Buza lakini, sifa awe Muslim, awe mnene mwenye shape, mweupe , nitamuhudumia na hata pa kuishi kodi nitamlipia, mm nina 32 miaka, akiwa hata na mtoto mmoja sio mbaya, awe anajielewa...
  3. Bukirilo

    Natafuta mke umri miaka 35 - 40

    Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
  4. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Mimi ni mgonjwa wa tonsi kwa miaka 5 sasa. Ni ugonjwa ambao nnaishi nao kwa mateso makali kwa kuwa nimejaribu tiba mbalimbali za hospital lakini sijawai kupona nazituliza tu kwa muda. Kwa sasa level niliyofikia nakunywa antibiotics na nachoma sindano ili kuzitibu lakini wakati mwingine sipati...
  5. emmarki

    Natafuta mzoefu wa kuvundika ndizi kwa umeme

    Wakuu, Natafuta mtu ambaye ni mzoefu au anaafanya shughuli ya kuvundika ndizi kwa umeme almaruufu kwa kutumia container maalumu za kuivisha ndizi. Ni kwa ajili ya kujifunza na consultation. Please nicheki 0752042670
  6. P

    Natafuta Fundi Mzuri Dodoma

    Wakuu habari za majukumu? Natafuta fundi wa kueleweka aliye Dodoma, nataka kujenga frem 8 za maduka, ambazo zitakuwa chini nne, na juu nne(kigorofa flan simple). Fundi mwenye uwezo na hii kazi anicheki fasta. Weka makisio ya BOQ na gharama za ufundi. Nitajibu kila kitu hapa kama kuna ufafanuzi...
  7. Tech Max

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering Nicheki whatsapp call sms 0756704145
  8. goldcall

    Natafuta zabuni (Tenda) za Usafi na fumigation

    Habari za kazi ndugu zangu . Kama ilivyo vyema, nimekuja kwenu, kuomba fulsa, kwa watu wote wewe ni kampuni, tahasisi, biashara au mtu binafsi, mwenye uwezo wa kuniunganisha na tender (zabuni) tufanye kazi, upate kazi (zingatia hapa kwa umakini) , kampuni yetu, inapenda kuwashukuru wote...
  9. Prof Phraoh AI

    Natafuta fundi wa umeme

    Wakuu nimekuja kwenu kwa lengo moja tu, natafuta fundi wa umeme wa nyumbani ambae yupo serious kwaajili ya kufanya kazi kweli. Kuna site 3 ambazo zitafuatana. location ya fundi iwe ndani ya Dodoma mjini
  10. sonofobia

    Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

    Natafuta series ambayo ni season 1 complete alafu iwe kali. Pls i do need your suggestions
  11. Gospel KTV

    Natafuta Watu Wanao Hamisha Kigamboni Mpaka Riverside

    Habari wakuu, Kuna ndugu yangu anahitaji kuhama Kigamboni kwenda Riverside Ubungo. Nitawapata wapi watu wanaofanya kazi ya kuhamisha watu kwa Kigamboni.
  12. Akthoo

    33m natafuta Mature Woman (45–50) — Casual Affair au Serious Relationship?

    Mimi ni mwanaume wa miaka 33, single na nina weakness ya kipekee kwa mature women hasa wenye miaka 45–50. Honestly, mature women ndiyo type yangu and I'm unapologetic about it. Kuna kitu kuhusu wanawake wa umri huu kinachonivutia sana,maturity, confidence, curves, na physical attraction. I find...
  13. GLUTLUS munga

    Natafuta mshirika

    Habari . Natafuta mtu mwenye ujuzi wa programming aliyepo Mwanza kwa ajili ya kushirikiana kutengeneza software na kugawana mapato. Nina miradi niliyoifanyia kazi na nataka tushirikiane kuendeleza miradi yenye fursa za kibiashara. Email yangu glutlusosgiants@gmail.com
  14. Daun Bashike

    Natafuta kazi/kibarua nijikimu kimaisha popote pale Tanzania

    Habari ya majukumu wanajamvi? Nipo hapa mbele yenu kuomba fursa ya kazi ama kibarua nipate kusogeza siku mbele, kwa sasa naishi Dodoma ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tanzania Elimu yangu ni kidato cha sita 2017 na chuo sikufanikiwa kuhitimu kwa ukosefu wa ada na tangu hapo...
  15. S

    Natafuta kazi/kibarua

    Mambo vipi jamii forum jamani natafuta kibarua/kazi ndani ya mkoa wangu huu. Sababu Nina changamoto ya familia na pia iwe kwenda na kurudi maana Nina watoto na nipo Mimi ndo nawaangalia Jinsia Me Naombeni msaada wenu kazi/ kibarua elimu yangu form 2 secondary , ujuzi wa kufanya usafi nje. Ndani...
  16. Aggrey sallah

    AJIRA: NATAFUTA FUNDI MTAALAMU WA KUSHONA SUTI ZA KIUME (PROFESSIONAL BESPOKE SUIT TAILOR)

    Nina ofisi ya kisasa ya ushonaji iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, na kwa sasa ninatafuta fundi mtaalamu mwenye uzoefu na uwezo wa kushona suti za kiume katika viwango vya juu vya ubora (Premium & Bespoke Tailoring).
  17. MrsPablo1

    Natafuta suppliers wa bidhaa mbalimbali Tanzania kwa ajili ya export

    Habari zenu wana JF, Natafuta wakulima, wazalishaji, na suppliers wa bidhaa zifuatazo kwa ajili ya fursa za biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi: 1. Mbao (Timber) 2. Parachichi (Avocados) 3. Ufuta (Sesame Seeds) 4. Kahawa (Coffee) 5. Mafuta ya...
  18. M

    Natafuta marafiki wa kike (Friend with Benefits)

    Natafuta rafiki wa kike as a friend with benefit, my No 0666607546. Karibuni
  19. E

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa kazi ya ulinzi

    Majina yangu kamili ni ERICK HURBERT SHAO elimu yangu form 4 hivyo najua kuhesabu kusoma na kuandika vizuri. Mimi ni Gateman, kazi yangu ni ya kuanzia saa 11 jion hadi saa 6 usiku ninapumzika vizuri nipo Uyole, Mbeya naomba kama kuna fursa ya kazi yoyote ile ya kila siku naomba mnisaidie mimi...
  20. D

    Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia. Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua...
Back
Top Bottom