natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Natafuta kazi Songea

    Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka kutumikia jamii na taifa namba 0762472799 Email mustaphakomba2003@gmail.com
  2. kijiwesports

    Natafuta kazi ya ufundi

    Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia nimesoma graphic designer kama kuna taasisi au mtu binafsi naomba unishike mkono kutoka na fani zangu...
  3. Secret Star

    Natafuta Business Partner Kwa Mtaji wa TSh 100M Tunaweza Pata faida ya TSh 300M hadi Tsh 350M kwa Mwezi.

    Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%. Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake. Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
  4. Tumbili in town

    Natafuta msichana wa kuwa naye

    Andika umri wako na mahali ulipo. N.b usizidi miaka 22 N.b kama single mother uwe mzuri N.b ujue nahitaji nini kwenye mahusiano N.b ujue kupenda N.b nitakupenda na kukujali
  5. V

    Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  6. Jaji Mfawidhi

    vitabu adimu , Navipata wapi? Mnunulie kijana wako w chuo.

    Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana. Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu. Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi? 1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa) 2.Tutarudi...
  7. Secret Star

    Natafuta Mwanasheria Anaejielewa Haraka iwezekanavyo Dar Es Salam

    Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
  8. Ngunya1

    Natafuta rumion

    Habari wakuu natafuta rumion iwe kwnye hali nzuri sana bajeti yangu haizidi 12 million kwa mwenye nayo karibu PM
  9. the big fish

    Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Natafuta bampa liwe jipya au used la gari aina ya chaser avante au gx 100 mwenye nalo tuwasiliane Natanguliza shukrani...
  10. Exformer

    Ona wasifu wangu, natafuta kazi/internships kwenye NGOs, CBOs N. K

    EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022 EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA) FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships) SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
  11. True Man11

    Natafuta wafanyakazi wa saluni ya kike

    Habari za majukumu, nimefungua salon mpya ya kisasa ya kike ambayo nalenga kutoa huduma zote za urembo wa kike kama vile, kusuka make-up facial Kupaka rangi kuosha miguu na nyinginezo nyingii salon ipo kimara suka - dar es salaam, kama wewe ni mjuzi wa hizo huduma au unafahamiana na mtu...
  12. balibabambonahi

    Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  13. L

    Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
  14. M

    NATAFUTA KAZI YEYOTE HALALI NIPO DAR

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  15. M

    NATAFUTA KAZ YEYOTE I HALALI

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  16. M

    Natafuta kazi yoyote halali, iwe dukani, kampuni au udalali

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  17. M

    Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  18. Gospel KTV

    Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1–11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700‑15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4‑2133MHz / PC4‑17000 SO‑DIMM ya laptop, 260‑pin 1.2V, Non‑ECC, Unbuffered...
  19. Website Tanzania

    Natafuta lori la mzigo tani 32 kutoka kiteto kupeleka Arusha

    Mzigo : mahindi gunia 300 kila gunia kilo 108 (Tani 32.4) Mahali ulipo : kiteto Unapoelekea : Arusha kwa mworombo. Mawasiliano : 0797870940
  20. J

    Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
Back
Top Bottom