VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,487
- 1,465
Rais wa Uganda, Yoweli Kaguta Museveni, ameagiza taasisi husika, kufungua mipaka ya nchi hiyo, na upande wa Congo chini ya uongozi wa M23.
Hii inamaanisha, biashara na safari za kuvuka mipaka,zitaendelea kama awali. Ikumbukwe,serikali ya DRC mpaka sasa haitambui maeneo ya M23 kama yake, baada ya kusitisha huduma zote za kiraia katika maeneo hayo.