Mipaka ya Rwanda na DRC,yupo nani?

Mipaka ya Rwanda na DRC,yupo nani?

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,275
Reaction score
5,975
Hivi, kifuatia mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo; Rwanda inasema inaimalisha ulinzi wa mipaka yake. Mipaka yote ya Rwanda kwa sasa, inapakana na eneo la M23. Kwa maana, serikali ya DRC kiuhalisia haipakani na Rwanda.

Makubaliano ya juzi huko USA, yalihusisha Rwanda na DRC. Inakuwaje, Rwanda ihofie usalama wake wakati M23 ishafukuzia mbali waasi wa FDLR!?
 
Back
Top Bottom