Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
The image circulating online is a fabricated graphic designed to mimic a legitimate news card, and the vulgar quote attributed to nominated Senator Karen Nyamu is completely fake.
Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector.
Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko kwenye kipengele cha category SPECIAL LAPSUM na UNEMPLOYMENT 33.3% , nipate Unemployment benefit...
1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza
2. Hawajatongozwa muda mrefu
3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela
5. Wanaogopa kukupoteza
Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.
Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu.
Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa...
Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama
Samuya : Naitwa Samuya SH
Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani?
Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano)
Lissu: Kwa Sasa unashikilia nafasi Gani.
Samuya : Ni Rais wa Tz
Lissu: hebu eleza mahakama...
Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70
Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi
Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI
Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini.
Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha. Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kuboresha barabara hiyo.
Mara kwa mara...
Anonymous
Thread
ahadi
ahadi hewa
barabara
hewa
kati
kero
kero ya barabara
ubovu
ubovu wa barabara
Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi.
Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje?
Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”?
Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini.
Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
barabara mbaya
kati
kijijini
maeneo
mbaya
Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine.
Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi.
Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.