Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,040
- 109,034
Tulia mwenzenu apate jikošHata mwenye malaria plusplus husikia inner voice za ...nzeee...nzeeee...!
Tulia mwenzenu apate jikošHata mwenye malaria plusplus husikia inner voice za ...nzeee...nzeeee...!
Duuh!
Huwezi kushaurika, fanya maamuzi uliyonayo kichwaniNdugu zangu ,, Binti ni Mzuri sana,,,ananikubali sana harafu ni wa kijijini huko...kiufupi naona ananifaa kabisa,,,,
Harafu nilichompendea...kaniweka wazi kila kitu