Tujikumbushe kidogo enzi za Mwendazake, jamaa alikutana na combination ya wakosoaji haijawai kutokea.
Kushoto yupo Mange Kimambi, kulia yupo Kigogo wa Twitter, nyuma yupo zitto kabwe, mbele wapo Chadema, Chini yupo Fatma Karume. Matajiri wakaingia kama Substution, na bado ndani ya chama chake...