mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Uingereza yaonya Shule kuchapisha picha za wanafunzi mitandao kutokana na tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail)

    Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
  2. Crocodiletooth

    Ufanyike mpango ili tuwe tunajisajili na mitandao yetu kwa kutumia IDs za NIDA.

    Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania, Thank...
  3. Zack Abdul

    Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

    Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za...
  4. baz kaiza

    Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  5. Pascal Mayalla

    Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  6. Hornet

    Kuna Utajiri mkubwa ndani ya mitandao ya kijamii

    Habari zenu huku, Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu. Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗬𝗮𝘀 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘀𝗶𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗔𝗽𝗽 𝗵𝗶𝗶

    Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026. Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa kufanya mambo mengi ndani ya muda mfupi kama vile; ⚙️ Uwezo wa kununua Bando kwa haraka zaidi hata...
  8. Tyrex

    Matatizo ya Mitandao ya simu

    Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na akaunti yako ya benki. Barua pepe yako. Akaunti zako za kazi. Maisha yako binafsi. Mara tu namba hiyo...
  9. C

    Ikifikia hatua gani utajigundua kua wewe ni mraibu wa mitandao?

    Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao. Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku. Hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa...
  10. wa stendi

    Responded HOJA Hivi kwanini TANESCO wasiwe wanakopesha Luku mteja anapohitaji kama inavyofanya Mitandao ya Simu🤔

    Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kuisha. Kwenye Mitandao ya Simu kuna huduma ukitaka kukopa vocha/salio muda wa...
  11. Zack Abdul

    Wanasiasa wachochezi walivyotumia Mitandao

    Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia. Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na kuwekwa katika makundi yaliyounganishwa na mvutano kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kundi la...
  12. Sulomy health care

    Mitandao ya kijamii jinsi inavyoinua uchumi wa vijana

    MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
  13. Wakusolve

    Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako(value)

    Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako. Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha kutoka kwao. Kama kijana kitu cha kwanza badili mtazamo juu ya maisha yako, unataka kujenga kitu gani...
  14. C

    Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

    ‎humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums, ‎ ‎nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya...
  15. MamaSamia2025

    Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  16. Mlalamikaji daily

    kumbe inshu ya maroboti ya kusifia kwenye mitandao ya kijamii ni kweli

    Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana! 1. Profile zote zimeshare content moja 2...
  17. ChoiceVariable

    Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  18. MK254

    Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  19. ChoiceVariable

    Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  20. Mshana Jr

    Hii vita mpya mitandao inatuchanganyia na AI

    Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100 Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu...
Back
Top Bottom