Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 56,370
- 106,413
Kununua bidhaa kwa njia ya mtandao.Kuhusu nini
Kununua bidhaa kwa njia ya mtandao.Kuhusu nini
Huyu mleta mada angekuwa ndio kijana wako wa kiume.Listen to ur inner voice
Hata mwenye malaria plusplus husikia inner voice za ...nzeee...nzeeee...!Listen to ur inner voice
Angeenda kumuazimia sauti kwa Pascal Mayalla inaitwa "the voice within"!Huyu mleta mada angekuwa ndio kijana wako wa kiume.
Halafu anakuja kukueleza hii habari, ungemwambia kijana wangu
"listen to ur inner voice"
Au ungemfurumusha kwa kipigo na maneno makali...😂
Namuhamisha Mkoa kwenda Mkoa mwingine,,,,,hata hivyo aminielezea situation yote iliyotokea mpaka ikawa hivyo,,nikamuelewaTumia kichwa chako vizuri.
Unataka utoroshe mwanamke mwenye ujauzito aje kwako? Mimba siyo yako!
Anaweza kupata changamoto za ujauzito wake unafikiri utaweza kumhudumia yeye na kumhudumia mtoto wako?
Kwanza huyo akili zake siyo nzuri, hujaliona hilo?
Single mother wa watoto wawili baba tofauti, na anaweza kuongeza wa kwako wakawa watoto 3 kwa baba 3 tofauti.
Mkuu acha kukaza basi, wee hutaki mwenzio ajipatie mke?Ur royal mkuu 🤣🤣
Wewe km mmependana, muoe huyo mwanamke.Namuhamisha Mkoa kwenda Mkoa mwingine,,,,,hata hivyo aminielezea situation yote iliyotokea mpaka ikawa hivyo,,nikamuelewa
Hata hivyo Mimi mwenyewe ni single Father...
Sawa kiongozi.Namuhamisha Mkoa kwenda Mkoa mwingine,,,,,hata hivyo aminielezea situation yote iliyotokea mpaka ikawa hivyo,,nikamuelewa
Hata hivyo Mimi mwenyewe ni single Father...
Unasema wazazi wake ni wakali kiasi kwamba hawawezi kukubali binti yao kusafiri kwenda kukutana na mchumba. Lakini jiulize, kama kweli wazazi hao wana mamlaka makubwa kiasi hicho katika maisha yake, waliwezaje kushindwa kuzuia mahusiano yaliyomfanya awe single mother mara mbili na wanaume tofauti?Ameniambia wazazi wake ni wakali akiwaambia kwamba anasafiri amepata mchumba..Mkoa fulani,,,hawakubali,,,sasa anashindwa afanyeje ,,anawaza sijui atoroke..atawaambia akishafika
Hapana jamani sijui kilicho kati yao siwezi kumkurupuo hivyo mkuu😂Huyu mleta mada angekuwa ndio kijana wako wa kiume.
Halafu anakuja kukueleza hii habari, ungemwambia kijana wangu
"listen to ur inner voice"
Au ungemfurumusha kwa kipigo na maneno makali...😂