Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa
1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani
2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi
3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba
4.Ulimkuta na bwana...
Uliwahi kuwa na mahusiano na Moja wapo ilikuwaje au urafiki
1.MLEVI KUPINDUKIA
2.MZEMBE
3.MVIVU
4.MCHAFU
5.MUONGO
6.MROHO
7.MCHOYO
8.MNAFIKI
9.MMBEA
10.MWIZI
11.MALAYA
Ninwakatu dasa wale single wote jf tunuane hii ikiwa n pamoja na walioachika ama kuachwa
Piaa baada ya kutakafakari hizi ajali za mara kwa mara nimeona n vyemq tukafurahi pamoja sehemu na ku enjoy pamoja haya maisha hayaeleweki hata lini utatangulia ama kumpata mwenzio
Kila aliendan ya ndoa...
90% ya mapenzi ya sasa kijana wa kiume na wa kike wakichati meseji 5 kila mmoja ya 6 itahusu pesa .
Nikuambie kitu?
Mwenzenu nina shida
Naomba 30, 20, 50, 100.
Sijui nywele zimefanyeje.
Enzi zile tigo mnatumia sh. 100 kupiga simu masaa 2 tulikuwa tunaongea masaa 2 na ikikata mnaanza tena masaa 2...
Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii.
Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
Sasa wewe mdundulizaji, bila kutoka kwenda kizurura kufokewa na maboss kama mtoto, hujala, unaenda kumponda kijana alie chungulia fursa akaona hapa napita chap bila kujiuliza mara mbilimbili.
Sasa huyo akipata tenda moja tu hapo kenya gharama zake zina rudi zote, huwezi jiringanisha nae. Alafu...
Mheshimiwa Rais, baadhi ya mapendekezo yanahusisha masuala magumu ya kisheria, kikatiba, na kijamii ambayo yanahitaji majadiliano endelevu.
Kuhusu pendekezo la kuhalalisha (decriminalize) uhusiano wa kimapenzi wa jinsia moja kwa hiari, Tanzania inashikilia msimamo wake wa kuzingatia maadili...
Habarini,
Unakuwa kwenye relationship na mdada, ila unahisi uko lonely kwenye hio relationship, papuchi unapewa, ila ukiongea na huyo mdada unaona kabisa kwenye maono ya kimaisha ya huyo mdada, wewe mwanaume haupo.
Unaona kabisa hapa unapewa papuchi kwasababu yupo desperate kipesa, ila angekua...
Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake .
Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀.
Sasa nikawa...
Hii inaletlelezwa na kukosa confidence na effect ya social anxiety.
Kuna jamaa mpaka wa leo nadhani haja wahi kufanya mapenzi, maana last time alibwagwa na demu baada ya demu kuona jamaa hana maamuzi ya kiuanaume.
Ilikuwa jamaa kila muda anamuuliza demu maswali ya kijinga na hana stori za...
Wakuu....
Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza.
Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu".....
Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane.
Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini...
Hii timu toka imeonyesha chuki dhidi ya waarabu ya wazi kabisa na kukumbatia sera za Israeli ( zayuni) imekua takataka kabisa, kwa sasa hili takataka linaloitwa manjesta limekua likiwaunga mkono Israel dhidi ya palestina acha yapigwe tu mamaeee
Mchepuko ulivyokosa zawadi kutokana na tamaa za hela za muda mfupi
Niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja nikiamini atakuwa tulizo la moyo wangu.
Kutokana na uzuri wa nje, ulinishawishi nimpende kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuboresha sehemu ya maisha yake.
Mdada huyo bado hajajenga...
Unajua moja ya kitu ambacho wanawake wengi hujizima data ni vile hawajui kuwa wanaume tuna hustle na kutafuta maisha kwa ajili yao.
Wanawake, ni moja kati ya viumbe vilivyo pendelewa sana. Ukitoa kazi ya kuzaa hawana kazi kubwa kama wanaume. Wao ni kupokea na si kutoa.
Kinacho haribu...
Jamani jamani, eti kuna watu wanaamini kuwa ukimpenda mtu kwa dhati, unapaswa kuwa tayari kumsamehe hata akikusaliti. Wengine wanaona kuwa kumsamehe na kuendelea na uhusiano ni kujidharau.
Sasa mimi najiuliza, kwani kusamehe kunamaanisha udhaifu? Au ni ishara ya ukomavu na uwezo wa kumpa mtu...
Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua...
Wakuu nilikua natafakari jambo hapa, hivi umasikini unaharibu mahusiano au unafichua tabia halisi za watu? 🤔🔥
Kuna wanaosema mapenzi ya kweli huonekana wakati wa shida, lakini wengine huamini changamoto za pesa zinaweza kuua hata mahusiano yaliyokuwa na upendo wa dhati.
Mtu akiwa hana kitu...
nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee.
pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10.
nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.