Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical.
Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano.
Hiki nimeki observe kwa upande wangu.
Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa...
Jiulize:-
Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini?
Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini?
Mara ya mwisho kukumbatiana...
Mkasa wa KWEKA na mkewe uliopelekea kutoana uhai kijeshi ni simulizi inayozua maswali mengi, maoni mseto shuhuda anuai na shauri mbalimbali.
Swali lililoulizwa sana ni....
"Kwa nini Kweka amemuua mkewe mrembo kiasi kile kwa risasi?"
Je hakukuwa na namna nyingine ya kutatua changamoto zao kabla...
Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili.
Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ?
Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ?
Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana.
Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira...
Habarini,
Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.
Nilipita pita...
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!?
Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za...
Ni story iliyotokea kwa Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake. je walidumu?
Fuatilia picha na kisa hiki kifupi
Mnamo 1977 mwanamume wa Kihindi aliyeitwa P. K. Mahanandia aliendesha baiskeli maili 6,000 kutoka India hadi Sweden kuoa...
Tukiachana na drama ambazo huwa napenda kuzifanya humu leo nataka niweke ego pembeni tena.
Mimi sijawahi kuwa na mahusiano!, Sio kwamba ninashida, Hapana.
Ninajifahamu vizuri na mtu hawezi kuniambia vinginevyo. Sihitaji kuprove hilo maana ni kama kuleta insecurity na kudhihirisha wanayosema...
Kwa upande wangu mimi kipande cha wimbo kinachoelezea mahusiano yangu hiki: May be this love not for me........ I'm single....I'm Single again by Konde boy
Wewe Je?
Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri.
Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
Habari wakuu,
Kalenda ya kuzaliwa imebeba uhalisia wa maisha yetu kwa ujumla, kila usichojua kuhusu wewe unaweza kukijua kupitia calendar yako ya kuzaliwa.
Calendar ya kuzaliwa ni code ya siri zote kuhusu maisha yetu, kupitia aina 3 za calendar (right, left & mini calendar) ni rahisi kujua...
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo.
Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu...
Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35...
Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.