Ma ofisa wakuu wa jeshi,wapo hatarini,badhi yao wakiwa wanasakwa huku wengine wakikamatwa. Wanakabiliwa na tuhuma na njama za jalibio la kupindua uongozi wa Tshisekedi.
Ndo hivo. Ila hizo pia ni dalili mbaya za uwezekano wa serikali hiyo kudumu,huku inajiandaa vita upya. Mbaya zaidi, wamo watu ambao walikuwa trusted na kupewa deployment huko uwanja wa vita.🤣🤣🤣🤣. Na hawa hakika ni watu wa karibu wa rais mstaafu,Kabila Kabange Joseph.