Ndo hivo. Ila hizo pia ni dalili mbaya za uwezekano wa serikali hiyo kudumu,huku inajiandaa vita upya. Mbaya zaidi, wamo watu ambao walikuwa trusted na kupewa deployment huko uwanja wa vita.🤣🤣🤣🤣. Na hawa hakika ni watu wa karibu wa rais mstaafu,Kabila Kabange Joseph.Bahati mbaya kwao mission imefeli