Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 15,220
- 30,862
Shukran sana kijanaAsubuhi njema na kwako pia ShesRise_1
VizuriN
Homie Yap kumekucha tena alhamdulillah
Huwezi kuwaridhisha watu wote,je hao wageni ndio mara ya kwanza kuja kwako au ni mara ya pili?Ukiwa na wageni njia sahihi ni ipi?
1. Kutenga chakula wajipakulie wenyewe.
2. Kutenga chakula na kuwapakulia
Wageni wengine nikiwaacha wajipakulie wajiachie, utasikia minong'ono huyu binti hajui kukarimu wageni.
Siku nikiwapakulia wageni wengine wanasema huyu mchoyo.!
Leo nina wageni, nipo njia panda.
Washawahi kuja, wengine bado!Huwezi kuwaridhisha watu wote,je hao wageni ndio mara ya kwanza kuja kwako au ni mara ya pili?
Kama ni mara ya kwanza kwa maono yangu waache wajipakulie wenyewe,ila kama ni ambao huwa wanakuja mara kwa mara bilashaka unajua tabia zao
Maana kuna wengine wanapakua bila kujali kuwa kuna wengine hawajala,kama hao ambao hawajali wenzao aisee wapakulie tu kama lawama na wazilete tu kikubwa umewakirimu kwa chakula
Kama kuna ambao unawajua ni wastaarabu na wanajali uwepo wa wengine waachie wajipakulie
Kikubwa tambua huwezi kuwaridhisha watu wote,fanya kile ambacho ni sahihi period
Waache wajipakulie dearUkiwa na wageni njia sahihi ni ipi?
1. Kutenga chakula wajipakulie wenyewe.
2. Kutenga chakula na kuwapakulia
Wageni wengine nikiwaacha wajipakulie wajiachie, utasikia minong'ono huyu binti hajui kukarimu wageni.
Siku nikiwapakulia wageni wengine wanasema huyu mchoyo.!
Leo nina wageni, nipo njia panda.
Kuwatengea na kuwaacha wajipakulie inqpendeza zaidi ila wengi ili linakaziwa kulingana na mila ya family fulani au lika fulani hasa wazee hupenda kupakuliwa ila kama ni lika linaloendana sana basi kujipakulia inapendezaUkiwa na wageni njia sahihi ni ipi?
1. Kutenga chakula wajipakulie wenyewe.
2. Kutenga chakula na kuwapakulia
Wageni wengine nikiwaacha wajipakulie wajiachie, utasikia minong'ono huyu binti hajui kukarimu wageni.
Siku nikiwapakulia wageni wengine wanasema huyu mchoyo.!
Leo nina wageni, nipo njia panda.
Na kweli wazee wanapenda kupakuliwa.Kuwatengea na kuwaacha wajipakulie inqpendeza zaidi ila wengi ili linakaziwa kulingana na mila ya family fulani au lika fulani hasa wazee hupenda kupakuliwa ila kama ni lika linaloendana sana basi kujipakulia inapendeza