Hukumu ya zinaa katika dini

Hukumu ya zinaa katika dini

Kuna makundi mawili ya wazinifu
1) walioowa
Hawa hukumu yao ni kupigwa mawe hadi kufa.
Lakin hadi hukumu isimame lazma wawepo mashahidi (4) walioshuhudia hicho kitendo , chini ya mashahid 4 hakuna hukumu na uliyeshitaki utapigwa bakora 80

2) wazinifu ambao hawajaoa
Kupigwa bakora 100 kila mmoja
Kwahiyo kama hakuna mashahidi unatomber tu bila wasiwasi au?
 
Kwahiyo kama hakuna mashahidi unatomber tu bila wasiwasi au?
Iko hivi
Kama hakuna mashahid 4 lakin mwanamke na huyo mwanaume wakakiri kuwa wamefanya hicho kitendo, basi hukumu iko juu yao.
 
Iko hivi
Kama hakuna mashahid 4 lakin mwanamke na huyo mwanaume wakakiri kuwa wamefanya hicho kitendo, basi hukumu iko juu yao.
Nani mjinga atakubali alikula mzigo bila ndoa ili apigiwe bakora 100😁
 
Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi).

Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili
• wazinifu walio kwenye ndoa
• wazinifu ambao hawajaoa

Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari watakazoacha kwenye jamii husika.

Watu wengi sahiv ujisifu kwa zinaa (kwenye mitandao au masikani yao) " dalili za kiyama "

Katika mafundisho ya dini (uislamu) mwanamke ndiye chanzo kikubwa cha zinaa.

KIVIPI..?

• Zinaa haiwezi kutokea bila ridhaa ya mwanamke, mwanamke anauwezo wa asilimia 100 kukataa na mwanaume hasiweze kumlazimisha kukutana faragha.

• Athari za zinaa umwangukia zaidi mwanamke kuliko mwanaume
(Mimba,aibu kwa familia na kuharibu nasaba)

Sura al Nuur: inasema...
Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume....

Kwanini aya imeanza na mwanamke...?

Mwanamke ndiye mwenye funguo ya kufungua zinaa au kufunga zinaa.

Zerock
Hakika adhabu ni kali. Tujiepushe
 
Kuna makundi mawili ya wazinifu
1) walioowa
Hawa hukumu yao ni kupigwa mawe hadi kufa.
Lakin hadi hukumu isimame lazma wawepo mashahidi (4) walioshuhudia hicho kitendo , chini ya mashahid 4 hakuna hukumu na uliyeshitaki utapigwa bakora 80

2) wazinifu ambao hawajaoa
Kupigwa bakora 100 kila mmoja
Na mwanamke anapokea hivyo hivyo au ni kifo kwa jumla
 
Kuna makundi mawili ya wazinifu
1) walioowa
Hawa hukumu yao ni kupigwa mawe hadi kufa.
Lakin hadi hukumu isimame lazma wawepo mashahidi (4) walioshuhudia hicho kitendo , chini ya mashahid 4 hakuna hukumu na uliyeshitaki utapigwa bakora 80

2) wazinifu ambao hawajaoa
Kupigwa bakora 100 kila mmoja
Hakuna hukumu ya kuwapiga wazinifu mawe kwenye Quran, hili ni jambo liliongezwa na wenye msimamo mkali kupitia hadithi.
Muongozo wa Quran ni viboko 100 tu
Malaria 2 adriz
 
We mwenyewe unacheka
Nikwambie kitu adimu ambacho unakijua.

Mwenyezi Mungu alianza kuumba kalamu,akaiambia "andika" ikaandika kila kitu hadi siku ya kiyama kitakuwaje.

Kwahiyo kuhusu mambo mashahid wa uwongo, viongozi wakora kama firauni....ni mambo ambayo yashasemwa kwenye Quran
 
Nikwambie kitu adimu ambacho unakijua.

Mwenyezi Mungu alianza kuumba kalamu,akaiambia "andika" ikaandika kila kitu hadi siku ya kiyama kitakuwaje.
Kwahiyo kalamu iliandika kuhusu vita matetemeko mafuriko njaa nk...

Hii kalamu kwanini iliandika balaa hivi?
Kwahiyo kuhusu mambo mashahid wa uwongo, viongozi wakora kama firauni....ni mambo ambayo yashasemwa kwenye Quran
nikuambie au nikuache ?
 
Back
Top Bottom