zinaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zerock

    Hukumu ya zinaa katika dini

    Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi). Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili • wazinifu walio kwenye ndoa • wazinifu ambao hawajaoa Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Narudia: Aliyetangaza mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi ni tangazo rasmi la kuhalalisha zinaa kiholela, michepuko, na zinaa kwa ujumla

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watu wananitumia jumbe wakinilaani, wakinitukana, na wengine wakiwa wamechanganyikiwa. Oooh! Wewe Mtibeli, Mtoto anamakosa gani? Mtoto ni mtoto. Katika haki na sheria. Matokeo ya uhalifu au dhambi huwagusa hata wasiofanya hayo makosa. Hiyo ni haki. Mfano...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwana wa Haramu. Mimi Robert, Mtibeli halisi. Nilizaliwa kwa njia haramu. Njia zisizo rasmi. Sikuzaliwa ndani ya ndoa. Na ukweli lazima usemwe wote bila kujali unamgusa nani. Bila kupepesa macho. Kuna watu wanafikiri tukisema ukweli, tunazungumzia ukweli...
  4. nzalendo

    "Fungus" ugonjwa wa zinaa

    Naam mikoa flani ya kanda ya kati. Ndani ya chuo "Fedenge" kuna Disco la kuwakaribisha mwaka wa kwanza. Katika hao wapya kuna mdada mashallah kajaaliwa kalio, Muziki umekolea watu wamechangamka. Kijana anajisogeza kwa mdada "Mashallah" anatupa nyavu ,,,anakubaliwa. Kijana anagharamia...
  5. chapati mbili na chai

    Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Wakuu habari zenu. Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo, Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana. Au vipimo vinaweza kusema uongo? Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo...
  6. chapati mbili na chai

    Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine. Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka. Nyege...
  7. Jaji Mfawidhi

    "Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

    Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa? Wataje na mama zao! Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.
  8. D

    Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

    Mambo wanajamvi? Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi kubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla...
  9. M

    "Zinaa" ni kiumbe hai (living-organism)

    Kinapatikana wapi ? 1. Wakati unapojiandaa kimawazo (me / ke ) hapo unakuwa umeandaa "raw material" malighafi 2. Unapopiga hatua kwenda kwenye miadi -unachakata malighafi. 3.Mnapoanza kushiriki tendo - mnaanza kutengeneza kiumbe 4. Mnapomaliza kuzini -Tayari uumbaji umekamilika...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

    TUKIWA KWENYE ZINAA NA STAREHE WANAUME HATUTAKI MTULETEE MAMIMBA YENU. HUO NI UKATILI KWA WANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Msitake kutuharibia Maisha sisi. Serikali sasa inayohaja ya kufikiria kuunda sheria ya kukomesha ukatili huu wa kijinsia kwa wanaume. Unabebaje Mimba ya...
  11. M

    Zinaa inaua nyota mara 2

    1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa. 2. Kupewa nguvu ya asili tofauti. Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali. (Utu to unyama) Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya...
  12. Jaji Mfawidhi

    "Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

    KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao. Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama. Ingawa hana urithi wa moja kwa...
  13. Wakusolve

    Zinaa inaua kibali chako

    Hosea 4:11 Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu. Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu. Uzinzi au ngono inakufanya kuwa mbali na Mungu hii inapelekea kukosa...
  14. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  15. Pdidy

    Ukifanya zinaa haya ndiyo majina utakayoitwa. Tafakari kabla ya kuzini

    UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
  16. Think2

    Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

    Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K Msosi 20K Nauli 5K Asante kwa kuja 30K Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo. Kwanini...
  17. issac77

    Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  18. Papillon 1906

    Ukienda kufanya zinaa muache mtoto nyumbani

    Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio. Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo. Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani...
  19. Waufukweni

    SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  20. Cecil J

    Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
Back
Top Bottom