dini

  1. Zerock

    Hukumu ya zinaa katika dini

    Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi). Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili • wazinifu walio kwenye ndoa • wazinifu ambao hawajaoa Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
  2. Yoda

    Hakuna mahali popote Quran imeagiza wazazi au walezi kuchapa au kupiga watoto, Biblia ndio imeagiza hivyo, msilazimishe wote tuchape watoto

    Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto. Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
  3. V

    Dira kwa waliokata tamaa ishu za dini hasa ukristo

    Shikamooni,.. Nafikiri njia rahisi ya kudumu kanisani au kwa mchungaji husika iwe ni UWEZO WA HUYO MCHUNGAJI AU KANISA HILO KUKUFANYA UISHI KWA USTADI BILA KUTEGEMEA KUOMBEWA AU KUWEKEWA MIKONO. Kwaufupi Mahali qanapojikita kukufundisha kwa maneno na vitendo (UNAONA na wao wameweza wanayosema)...
  4. Yoda

    Miujiza ambayo kamwe hutakaa uisikie katika dini.

    Unaweza kuwa unadai umeona au umesikia miujiza mbalimbali kwa mitume na manabii wa kisasa pamoja na wale wa zamani katika vitabu ila kuna miujiza hutakaa kuisikia au kuiona ambayo ni pamoja na; 1. Mkono uliokatika kuota 2. Miguu uliokatika kuota 3. Mtu mwenye mapengo kurejeshewa meno 4...
  5. Kaka yake shetani

    jamiiforum naomba zingatieni haya ni hatari kubwa ambayo hata maraisi wametumia dini au kabira wabaki madarakani

    Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome. Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka. Mungu ibariki mkifa
  6. adriz

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Hello Great Thinkers , My name is Adriz Mr Justice , My friends call me a Consigliere. Moja kwa moja... Moja kwa moja , hili jambo nimechunguza muda mrefu na lipo globally , Muislamu akifanya jambo lolote likatrend la hovyo au ukatili basi moja kwa moja Imani yake inahusihwa na tukio ...
  7. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  8. farfat

    TAFADHALINI SANA WATU MNAOJIONA MNA DINI

    Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺 Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Ama kweli uislamu ndiyo dini pekee ya Allah. Ushahidi huu hapa, mashehe mje kwa ufafanuzi zaidi

    Nanukuu kitabu cha kiislamu kama ifuatavyo; "Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo...
  10. Yoda

    Muziki wa bongo fleva ni haramu katika dini ya Kiislamu?

    Bila shaka kila mtu atakubali kwamba wanamuziki wanaofanya vizuri zaidi katika muziki wa bongo fleva na taarabu ni wanaotoka Pwani na hasa kutoka jamii ya Kiislamu, wanaofanya vizuri katika muziki wa injili (muziki wa mungu) ni kutoka bara, mkoani Mbeya. Ambacho huwa huwa sielewei vizuri ni hii...
  11. Joseph Ludovick

    Komredi Kawaida yuko sahihi, Viongozi wa dini wamefeli

    Hoja ya Komredi Kawaida kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika maadili ya waumini inastahili mjadala wa kina. Si kwa sababu viongozi wa dini wanapaswa kubeba makosa yote ya wanasiasa, bali kwa sababu malezi ya kiroho na kimaadili ni sehemu ya dhamana yao. Katika maadhimisho ya kuwaombea...
  12. F

    Katiba ya nchi yetu inaruhusu kiongozi wa dini kuongoza maandamano kama alivyofanya Desmund Tutu na Martin Luther?

    Nimeuliza swali, Majibu yawe mafupi yakiambatana na kifungu ndani ya katiba, tafadhali Karibuni.
  13. Zack Abdul

    Siku ya pili ya viongozi wa dini kujadili amani

    Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
  14. Tlaatlaah

    Unadhani why wananchi hawakuhudhuria ibada iliyohamasishwa sana na miongoni mwa madhehebu ya dini yanayosemekana kuchochea sana ghasia za Oct 2025?

    Sote ni mashahidi, kwamba licha ya kuhamasishwa sana kuhudhuria ibada ya kinafiki na miongoni mwa madhehebu ya dini ambayo yanasemekana kua miongoni mwa wachochezi wakuu wa ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025, Wananchi na waTanzania wote walipuuza wito huo na wakaendelea kutimiza...
  15. F

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee). Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
  16. L

    Viongozi Wa Dini Waache Kuchafua Nchi Yetu. Sisi Hatuna Wakimbizi na Hatuna Machafuko wala Vurugu wala Vitisho vya Kusababisha Watu kuwa Wakimbizi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote. Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
  17. M

    Dini na Madhehebu ya Mungu vs Dini na Madhehebu ya Shetani kujulikana kesho 29.10.2029

    Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani. Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October...
  18. M

    Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  19. Kaka yake shetani

    Wa Zanzibar wanajitamba hapa nilipo mkoani na kusema nchi ni yao na dini ni yao wataibadilisha Tanganyika

    Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar . Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira...
Back
Top Bottom