dini

  1. K

    Kutoka Madhabahuni hadi Kwenye Ukweli: Kwanini Siamini Tena Dini Tulizoletewa

    Utangulizi: Malezi Yangu na Mwanzo wa Shaka Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya Kikristo yenye misingi thabiti. Tangu utotoni, nilikuwa muumini mzuri, mfuatiliaji wa mafundisho, na mtoto niliyebahatika kusoma katika shule za misheni. Huko ndiko nilikolishwa Biblia kwa mara ya kwanza...
  2. Troll JF

    DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  3. instinct desire

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  4. Yoda

    Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

    Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
  5. M

    Chama au Dini safi vs Chama au Dini Pumbavu

    Chama cha siasa na Dini kwa kawaida huwa na wafuasi wengi. Kwa hapa Nchini kuna chama na Dini safi na vyama na Dini Pumbavu. Chama na Dini safi hubeba huwafungua macho wafuasi wao, huwaongoza kwenda kwenye mafanikio, huwapigania dhidi ya dhuluma, lakini vyama na Dini Pumbavu huungana na...
  6. M

    Uislamu ndio dini ya haki duniani

    Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
  7. ChoiceVariable

    Watanzania Wanawadai EL Nino, Viongozi wa Dini Wadai Walifunga na Kuomba El Nino Isije na TMA wanasema El Nino ilianza mwezi wa 5. Tushike la Nani?

    My Take Tushike lipi? https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5. https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA== My Take 2 Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
  8. Q

    Kama Serikali ya CCM imechoka kukaa madarakani ithubutu kuwakamata viongozi wa dini

    Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla, Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa...
  9. USSR

    Hii ndio dini number moja kwa masharti magumu zadi duniani

    Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli. Wajaini wana fuata...
  10. M

    Mama yake Jihan (mrembo wa taifa) anajua athari kubadili dini kwa mwanawe?

    Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu, Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao? Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama...
  11. Mhaya

    Kwa nini hakuna nchi ya kikikristo inayoua mtu kwa kubadili dini, ila za Kiislamu zipo nyingi?

    Hivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu. Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida...
  12. Dr Matola PhD

    Waliokuwa wanawaona Waarabu ni washika dini kumbe nao ni Washirikina vilevile, hii dunia ina mambo.

    Kuna taarifa zinaendelea kufichuliwa baadhi ya Mashagala (house managers) kutoka Kenya wanaokwenfa kufanya kazi za ndani wanakutana na ajabu. Imethibitika si nyumba moja tu hawa Waarabu wanafuga hii mijusi iguana na mfanyakazi wa ndani ndio anapaswa kumuogesha na kumuhudumia. Sasa maswali ya...
  13. IIT MWASISI OS

    Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Kwanza kabisa kabla ya kuweka maono mapya niliyoyapata kuhusu dini mpya. Naomba kama kuna mtu humu Jf nimemkosea anisamehe nanyi wote nawasamehe kabisa. Sijui kwa nini Mungu Amechagua namba 7 na namba 14 na 30 katika maisha yangu. Ilikuwa ni tarehe 7/10/26 nilivyopata hali ya Religious...
  14. Waufukweni

    Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  15. Kipenzi Changu

    Kuna wake wanaobadili dini KISA mwanamke; mlishawajadili?!

    Leo Stend ya Kahama nimekutana na Samweli. Samweli alikuwa KKKT. Pale kijijini alihamia mzee mmoja wa Kilokole kanisa la Moses Kulola. Yule mzee alikuwa na watoto wazuri sana. Samweli akampenda mmoja. Wale mabinti walilelewa kwenye ukiristo hasa, hakuna kumchezea mpaka ndoa. Lakini Samweli...
  16. min -me

    Dini bora kwa jinsia ya kiume.

    Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake. Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu. Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu. Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni...
  17. Yoda

    Wanandoa wakigombana waende kwa therapists wa ndoa badala ya wazazi au viongozi wa dini.

    Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa. Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
  18. bless on

    Hii ndio Dini Kongwe Duniani

    Kwa mahesabu ya Biblia mpaka sasa Dunia ina miaka 6000. Kwa maana hiyo, tukianza na dini kongwe inaonyesha kuwa kuna miaka 1000 watu waliishi bila dini. Hawakuwa na hizi dini ila walimuabudu Mungu na shetani. Miaka 1000 baadaye hatimaye dini ya kwanza ikaanzishwa, hii ilianzishwa mwaka 5000...
  19. Yoda

    Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
Back
Top Bottom