Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.
Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026
Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa.
Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki.
Lakini swali linabaki: Je...
TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa.
Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale...
1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu
2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru
3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages
4. .....ongeza
Kufuatia majibu ya Serikali ya Tanzania dhidi ya Uingereza kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kupitia ukurasa wake wa...
Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu
1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini
La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi).
Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili
• wazinifu walio kwenye ndoa
• wazinifu ambao hawajaoa
Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
wanajamvi
jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano
https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano
Kwako Wakili Msimi🤣
====
Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki...
Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii.
1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini.
Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
Hapa ndipo ninapoanza kupata matumaini kwamba mambo yanayojiri huko juu si mepesi. Taarifa zinapovuja kuhusu jambo nyeti kama hili, kwetu ni fraha mambo ni moto lakini hutufanya tutafakari kwa kina.
Kwa kawaida, taarifa za ndani zinapovuja kuna maswali kadhaa ya kujiuliza:
Hutakiwi ...
Mifugo yangu yote ng'ombe, mbuzi na kondoo nimeiwekea alama maalum. Wakati namtafuta ng'ombe wangu mmoja aliyepotea jana usiku kwenye maboma ya wafugaji wenzangu nilimkosa ng'ombe wangu lakini nikamkuta mbuzi wangu ambae pia nilikuwa simuoni wiki moja iliyopita. Je, mbuzi wangu siwezi kumchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.