Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.
Republic v. Tundu Antiphas Lissu | Criminal Case No. 19605 of 2025
Ndugu wanajamvi, Wadau wa Demokrasia na utawala wa Sheria, Wanaharakati na wengine wote Kwa ujumla Uzi huu utajikita moja kwa moja kwenye mambo kadhaa ambayo ni ya kina kabisa Kisheria kama ifuatavyo;
1. Ukweli wa kumbukumbu za...
Nakala ya hukumu ya Tundu Lissu ina saini ya Jaji mmoja badala ya majaji watatu waliosikiliza kesi.
Majaji wengine majina wala saini zao hazipo licha ya hukumu humo ndani kutumia wingi yaani neno "we.." kila ukurasa.
Hali hii inatia mashaka ikizingatiwa uwepo wa tetesi kwamba wakati hukumu...
Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
Uchambuzi wa hukumu ya kesi ya lissu kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali
Kwanza ile kesi ya msingi ya uhaini ambayo alishtakiwa imefeli baada ya jamhuri kushindwa kuthibitisha uwepo wa uhaini,hii maana yake Lissu amekaa takribani siku mia tano na miezi 7 gerezani bila kosa lolote lile
Lakini...
Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya;
1. Reconciliation-Maridhiano
2. Reforms-Mabadiliko
3. Resilience- Ustahimilivu
4. Rebuilding-Kujenga upya
Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
Wanabodi,
Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS,
Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ
KWA UFUPI:
Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu...
Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza.
Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu
Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
Ni wazi kwamba kwa sheria za Tanzania Jaji Ndunguru na jopo lake wangeweza kumhukumu Lissu kwa kosa la uchochezi badala ya uhaini, kwa sababu sheria za Tanzania zinaruhusu hilo.
Ila sasa, inawezekana kabisa Jaji Ndunguru na wenzake wamefanya hivyo huku wakikiuka misingi ya sheria. Msimamo wa...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa.
Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
Actually, atakuwa anafanya utetezi wa kijinga lakini usishangae kabisa ikitokea unless wawaue sasa...
Na hawa mabwana watatu wanajiita "Majaji" watakufa kweli kwa kuwa kwa hiari zao wenyewe wamechagua fungu hilo la kuwa upande wa dhuluma na mauti badala ya kuchagua upande wa haki na uzima...
Ndugu zangu Watanzania,
Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu.
Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it.
Key Characteristics
Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
Huyu ni miongoni mwa walioumia baada ya Lissu kuibuka mwenyekiti wa Chadema January mwaka 2025.
Sasa baada ya hukumu ya leo ya Tundu Lissu tarehe Novemba 6 mwaka 2026, ametweet huko mtandao wa X kuonyesha furaha yake.
Mlio karibu nae, mwambieni ubaya hauna kwao na siku ikifika tutamkumbusha...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tunakutuhumu umeiba ng'ombe ila tunafunga kwa kosa la kula firigisi za kuku
Daudi anasema Wana taka nirudishe kitu ambacho sikuiba
Huzuni
SAYUNI BOY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.