How to make Someone Regret Losing you......

How to make Someone Regret Losing you......

So kunakuwa hakuna cha kujifunza hapo
Unaweza kujifunza kuwa

1. Sitaki kuwa na mtu kama yule tena

bila ya

2. Kutaka mtu huyo ajutie kutokuwa na wewe.

Mambo haya ni tofauti. Kuyaweka pamoja ni makosa. Tena si makosa tu, ni upungufu wa mental resilience, logical thinking, self worth na personal dignity.

Yani mimi naweza kusema huyu rafiki yangu ni toxic, sitataka kuwa karibu naye tena, lakini hilo halimaanishi kusema hivyo ni lazima pia niseme "atajuta kunipoteza urafiki wangu".

Hiyo kauli ni ya roho mbaya, ubinafsi, kujipa umuhimu usio nao katika maisha ya mtu mwingine, na kwa kweli ina mbegu ya jinai.

Kwa sababu, huo ndio mwanzo wa kuona mtu hajuti, kusema, huyu hajuti, lakini anatakiwa ajute, anastahili ajute, halafu kumfanyia kitu kibaya ili ajute.

Naweza kumpotezea tu ashike hamsini zake na mimi nishike zangu.

Tena, kama umejifunza vizuri kutotaka kuwa na mtu kama huyo, hutataka ajutie sana kutokuwa na wewe.

Kwa sababu, akijutia sana kutokuwa na wewe ndiyo mwanzo wa yeye kukutafuta, kutaka usuluhishi, kukubembeleza muwe wote tena, na pengine hata wewe kukubali kuwa nawe urafiki tena.

Kwa hiyo, katika saikolojia ya ndani kabisa ambayo wewe pia unaweza usiijue au usiikubali kirahisi kwa cognitive dissonance, wewe kutaka mtu ajutie kukukosa maana yake ni kwamba wewe hujakubali kuachana na huyo mtu.

Unajiwekea matumaini kwamba atajutia kukukosa halafu akutafute halafu muyajenge upya.

La sivyo;

Inawezekana pia hutaki ajutie kukukosa ili muwe na nafasi ya kuyajenga upya.

Lakini hilo litamaanisha unataka ajutie kukukosa kwa roho mbaya.

Unasema "wewe umenikataa urafiki, basi lazima ujute".

Wakati mtu kukukataa urafiki ni haki yake ya kibinadamu.

Unamtakia mtu mabaya kwa kutumia haki yake ya kibinadamu kukukataa wewe tu.
 
Hivi ni kweli kuwa wanaume wana uwezo mkubwa zaidi wa kukataliwa na kukubali tu kuwa kukataliwa ni sehemu ya maisha, kuliko wanawake?

Naona kama wanawake wakikataliwa huwa mara nyingi inawapa tabu sana, wengi wanakasirika sana.

Mpaka Shakespeare aka popularize msemo "Hell hath no fury like a woman scorned"

Lakini kwa upande wa wanaume, Shaggy alisema sisi tushazoea kukataliwa, ukitukataa tukatae tu.

"And I can take rejection, so you tell me go to hell"

Boombastic - Shaggy


View: https://youtu.be/6W5pq4bIzIw?is=m6xkMbezAtUyoont

Au ni tabia ya mtu tu, ving'ang'anizi wa kiume wapo sawa na wa kike tu?
 
Hivi ni kweli kuwa wanaume wana uwezo mkubwa zaidi wa kukataliwa na kukubali tu kuwa kukataliwa ni sehemu ya maisha, kuliko wanawake?

Naona kama wanawake wakikataliwa huwa mara nyingi inawapa tabu sana, wengi wanakasirika sana.

Mpaka Shakespeare aka popularize msemo "Hell hath no fury like a woman scorned"

Lakini kwa upande wa wanaume, Shaggy alisema sisi tushazoea kukataliwa, ukitukataa tukatae tu.

"And I can take rejection, so you tell me go to hell"

Boombastic - Shaggy


View: https://youtu.be/6W5pq4bIzIw?is=m6xkMbezAtUyoont

Au ni tabia ya mtu tu, ving'ang'anizi wa kiume wapo sawa na wa kike tu?

Hasira Muhimu
 
Yani hoja iko pale pale hata kama unayemzungumzia ni baba yako mzazi na mahusiano ni ya kifamilia.

Hoja ya msingi haibadiliki.

Hoja ya msingi ni wewe kuweza kuendelea na maisha yako bila kutaka huyo mtu ajutie kutokuwa nawe.

Yani wewe unakuwa kama mteja ambaye hawezi kuishi bila madawa ya kulevya.

Tofauti ni kwamba mteja anategemea madawa ya kulevya, na wewe unategemea huyo mtu ajutie kutokiwa nawe.

Wote wawili ni wateja tu.

Acha kuwa mteja, endelea na maisha yako bila kitaka mtu ajutie kutokuwa na wewe.
Okay
 
Hasira Muhimu
Unamkasirikiaje mtu aliyetumia haki yake kukukataa?

Yani hapo inakuwaje, umejiweka juu kwamba wewe huwezi kukataliwa?

Mbona wanaume wanakataliwa kila siku, tena kwa kuzodolewa kwa maneno ya ovyo, na wengi wanakubali na kuendelea na maisha bila hasira tu?

Je, hili linaonesha wanawake ni wabinafsi zaidi ya wanaume?

Wao kumkataa mwanamme wanaona sawa, tunaambiaa "No means no"

Ukimsumbua mwanamke aliyekukataa utaitwa stalker. Jamii itakuona mtu mbaya.

Lakini, mwanamke akikataliwa na mwanamme anaona ana haki ya kukasirika, kumtakia aliyemkataa mabaya.
 
Ku regret siwezi, kutaniharibia dignity yangu.

Watu wengine ndio wana regret kutokuwa na mimi, mpaka wanasumbua sana na block namba, wanapiga kwenye namba tofauti.

Nina uwezo mkubwa sana wa kukaa mwenyewe nikapanga mambo na halmashauri yangu ya kichwani bila kumbughudhi mtu au kutaka kubughudhiwa.

Kuna wimbo mmoja wanasema "nikung'ang'anie kwani wewe kadi ya Nida?", wale kama wananisemea mimi vile.

Kuna bidada aliniuliza "Hivi wewe unaweza kupenda wanawake wawili kwa wakati mmoja?".

Nikamwambia nini wawili, kuna wakati hata mmoja tu siwezi

Na huyo alikuwa ndiye barafu wa moyo wangu eti 😂😂😂
Sasa wewe naona kuna unalofanya kama mtoa mada alivyoandika. Tofauti ni kwamba intention yako sio waregret. Kama kuna bidada katingisha kibiriti halafu akakuta kimejaa lazima aregret kwakweli.
 
Sasa wewe naona kuna unalofanya kama mtoa mada alivyoandika. Tofauti ni kwamba intention yako sio waregret. Kama kuna bidada katingisha kibiriti halafu akakuta kimejaa lazima aregret kwakweli.
Mimi naishi ninavyotaka tu, kwa falsafa na kanuni zangu, sitaki ujinga.

Hayo ya ku regret, kutingisha kiberiti, watajua wao. Sijawapa umuhimu wa kuwafikiria sana kihivyo. Maana mtu ukimfikiria sana hivyo, ushampa umuhimu.

Yani naona mtu anayetaka ex wake au rafiki waliyeachana a regret kama mtu fulani ana insecurities, anatafuta validation kwa kuwa missed, namuona ni mtu ambaye ana muda mchafu sana wa kufikiria vitu vinavyopoteza muda.

Someone is in your past, why are you even wasting time thinking about that person that much?

I need 10,000 lifes of 100 years each to finish my projects and recreation alone, without starting a new project, that is a million years.

I will be lucky to live fully one of those lives.

Where do I get the time to care whether an ex regrets not being with me or not?

Mimi niko opposite ya mtoa mada, tukishaachana na mtu halafu akawa anajipendekeza anani miss ndiyo nitakasirika na kuuliza unajipendekezea nini wakati tushaachana? Na hapo ni guarantee nitakuwa busy na mambo yangu au na mtu mwingine.

Hii kutaka mtu a regret ni aina fulani ya kushindwa ku move on, au kuona huwezi kumpata mtu mwingine kama huyo.

Mimi ndiye naacha, natafutwa sijawahi kuwa na sababu ya kumfanya mtu atake ku regret kutokuwa na mimi.

Kwanza naona hiyo ni roho mbaya sana.

Kama unaachana na mtu mliyegombana naye sana mwambie tu hata akisikia umefariki asije katika mazishi hako.

Hiyo inatosha.

Ukimtakia a regret kutokuwa na wewe ujue unampenda na kummiss huyo bado hujaweza ku move on kama alivyoimba Konde Boy.
 
Husninyo realMamy

Question

Why do certain people feel the need to have their ex lovers or ex friends regret losing them? Why can't they just move on?

Answer (Meta AI)

It's not really about the ex. It's about what the breakup meant to them.

When someone can't just move on, it's usually one of these underneath the "I want them to regret it" fantasy:

1. The ego took the hit, not just the heart
A breakup is a rejection. For a lot of people, the brain translates that as: "I wasn't enough."

Wanting the ex to regret it is a way to rewrite the story: "Actually they lost. They made the mistake. I'm the prize."

It's less about love, more about restoring status. If they regret it, then I wasn't rejected — I was undervalued.

2. It's grief with nowhere to go
Moving on requires accepting: this is over, and there's nothing I can do about it.

That's unbearable for some people. The revenge / regret fantasy keeps the connection alive in their head. As long as they're imagining the ex crying over them, the ex is still thinking about them. It's a painful way to stay attached.

That's why you see it most in anxious attachment — the nervous system is screaming "don't let go," even when the logical brain knows it's over.

3. The breakup felt unfair
Cheating, being ghosted, being left for someone else, being discarded after years of effort — that creates a sense of injustice.

The brain wants a courtroom: "You should pay. You should feel what I felt."

Wanting regret is really wanting acknowledgment. "Admit you hurt me. Admit I mattered."

People who got closure — even a messy, honest conversation — move on faster than people who got silence.

4. Identity was wrapped up in the relationship
If your whole self-image was "I'm [Name]'s partner" / "I'm the loyal friend who always shows up," then losing them isn't just losing a person. It's losing who you were.

The fantasy of them regretting it becomes: "If they come back, I get my identity back."

5. Social comparison makes it worse
Instagram makes it look like the ex is thriving, dating someone hotter, traveling, glowing. That triggers: "Wait, why am I the one suffering and they're fine?"

So the fantasy flips it: "One day they'll see me thriving and they'll be the one suffering."

It's comparison pain disguised as revenge.

So why can't they just move on?

Because "just move on" skips the actual work:

Moving on isn't forgetting. It's going through:
1. Grief — this hurt
2. Anger — this was unfair
3. Acceptance — it's over and I can't control them
4. Rebuilding — who am I without them?

Most people who are stuck are stuck at #2. They haven't let themselves fully grieve, so anger keeps looping.

The regret fantasy feels like power, but it actually keeps them powerless — because their happiness is still tied to what the ex thinks.

The shift that actually works

It's not "I don't care anymore." It's:

"I don't need you to regret it for me to be okay."

That happens when they stop asking: "How do I make them miss me?" and start asking: "What did I lose in myself during that relationship that I need to get back?"

Usually the answer is self-respect, routine, friends, hobbies, boundaries — stuff that has nothing to do with the ex.

Is this you, or someone you're watching do this?

Because the advice is different. If it's you, I can give you a way to break the loop without just white-knuckling it. If it's an ex doing it to you, the move is almost always: don't engage, don't prove you're thriving for them, just actually go live.
 
Ukiachwa achika basi.
Ukikataliwa we vunga chapa mwendo like nothing happened utaponea mbeke ya safari.

Kwann mgandane, mfuatiliane? Ofcourse scennario ziko tofauti. Kama mna kitu cha kuwakutanisha like watoto au kazi, copping na challenge zake haziwez fanana , ila kikubwa we kubali imeisha hiyo.
 
Yanini sasa ukae uanze kujipipanga ili tu kumfanya mtu ajutie kukupoteza........
Ishi kulingana na wakati kila mwanzo una mwisho wake
 
Okay!

They left you without warning. They didn't want to hear anything. They didn't want to mediate or mend what you had together. And now, they're gone.

So, how are you going to make them regret losing you?

Number one: Disappear completely.

My friend Silence is your power. And in this case, no texts, no calls, no WhatsApp stories, or anything like that. Just let them feel your absence.

Number two: Upgrade yourself.

After you leave, upgrade yourself. Do it in silence. Fix yourself up. Level up mentally. Read books and gain knowledge.
Improve physically, spiritually, and mentally. Upgrade yourself, but don't announce it. Let them hear about you.

Number three: Become unreachable.

The old version they knew is gone. They can no longer see you or feel your presence. No more late-night chats. No more second chances. You just relax. No more emotional safety nets. All those privileges are revoked.

Because you have upgraded yourself, and everybody wants someone who is making progress in life.

Number four: Let them see you winning.

Start winning. Start winning! Winning is always the best thing you can do for yourself. You don't have to flex.

Just let your glow, your peace, your elevation, and the way you've changed speak much louder than words.

Let them watch you become everything they couldn't handle. Go and do the things you've always wanted to do. Become the person you always wanted to be. Be yourself.

The moment you become yourself, you win the game.

And finally, number five: Show no resentment.

What do I mean? They expected bitterness, but give them indifference. You understand? Nothing is more unsettling than realizing someone has moved on and doesn't even care anymore.

You're not angry with them. You're not happy with them. You're just neutral. You don't bother yourself with whether they exist or not.

That's how you make someone regret losing you.

😜
Kumfanya mtu ajute kwa kutokukuona au kutokuwepo kwako napo ni dalili kwamba nawe unaumia kwa yanayoendelea.Shika hamsini zako na umuache mliyepishana mitazamo naye achukue time yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom