How to make Someone Regret Losing you......

How to make Someone Regret Losing you......

It's not about insecurity. It's about self-respect.
Kuishi maisha ili mtu akukumbuke na aku miss inaonyesha wewe ni jinsi gani ndiye unamkumbuka na unatamani kuwa karibu naye...

Zingatia furaha na utulivu wako binafsi, ishi maisha yako...
 
Ooh darling,
I have prepared enough on that and make my mind ready for that very normal responsibility of housband material.

I'm well prepared to love you, to value you, to care for you in every way, and to respect you to the maximum.

Plz darling,
give me your real love, and I would give you my hot love. Thank you for a simple exam questions🌹
Hmm, naona umejiandaa kweli 😜 Maneno yako ni matamu sana, but you know me,naangalia vitendo zaidi.

Umesema you're ready to love me, to value me, to care for me na kunihudumia kama husband material... sawa, nionyeshe basi. Usinambie tu, 😊

Kama ukinithibitishia kwa vitendo, my real love utaipata bila hata kuniomba. Na hiyo hot love yako... tutaona kama itanistahili 😌🔥
 
hii ni kama komoa kwa wapenzi wenye Gubu mfano mim na gubu langu afu ndo manzi anifanyie hiv.. lool sura ingenishuka..ningebadilisha njia nikimwona tusipishane, but why unikere
Una gubu kumbe ee 😅
 
Kuishi maisha ili mtu akukumbuke na aku miss inaonyesha wewe ni jinsi gani ndiye unamkumbuka na unatamani kuwa karibu naye...

Zingatia furaha na utulivu wako binafsi, ishi maisha yako...
Sawa. Ushauri mzuri sana.
Nimeupenda
 
That is more like self disrespect.

Self respect would be moving on and forgetting that person.

If you are still thinking about that person and still scheming, wanting them to regret losing you, that person still has power over you, you are thinking about them, and your self worth is still tied to them, you want them to appreciate you so badly.

That is not self respect, that is Status Anxiety that is still tied to them.

True, lakini self respect sio kusahau mtu. Ni kuacha kumruhusu akuumize tena. Mimi simfikirii kwa sababu bado namtaka, nafikiria lesson niliyojifunza.😊
 
:1Head:

Infact,
I am very much worried if this is genuine from your heart, or simply a useless mayhem to lure this tender girl into your nonsense.

Gentleman,
I have been watching you, i don't believe you can handle her. She is very much of a mchuchu.

As you can see,
I have already taken her, stay away from her 😭😭😭😭😭😭

:1Head:
Hiyo icon yako ndugu huwa inanikumbusha mama mmoja mccm tulipanga nae mahali sasa mwenye nyumba anaishi mbali ndio akanifanya kama caretaker bills natumiwa mimi.

Siku hajalipa bills za maji two months nikampigia nikamshow "mazaa tunakatiwa njota juu hulipi bills" akaniambia "ACHA KIHEREHERE NYUMBA SI YAKO"

Hiyo icon yako huwa inani demonize ile mbaya
 
True, lakini self respect sio kusahau mtu. Ni kuacha kumruhusu akuumize tena. Mimi simfikirii kwa sababu bado namtaka, nafikiria lesson niliyojifunza.😊
Bado kakukaa kichwani mpaka unataka ajutie kukukosa.

Kama unafikiria lesson uliyojifunza tu, huna haja ya kutaka kumfanya ajutie kukukosa.

Kila dakika unayotumia kufikiria njia ya kumfanya ajutie kukukosa ni dakika unayomruhusu akuumize tena.

Unafikiria "Yule kwa nini kaniacha? Nitamkomesha, atajuta".

Hapo tayari unaumia kuachwa, ujue usijue, unaumia kuachwa.

Endelea na maisha yako bila kumfikiria.

Na kama umeshindwa, kubali tu kuwa huwezi kumsahau.

Lakini kutaka ajutie kukukosa ni roho mbaya, ni kuwa king'ang'anizi, ni kumtakia mtu mabaya wakati huko naye na wala mabaya hayo hayakufaidishi kitu.

Fikiria mawazo yako kama energy, na kuyatumia kumfikiria huyo mtu ni kutumia energy kwake.

Unatakiwa kujipanga upya, na mpenzi mpya, na huyo mpenzi mpya ndiye anatakiwa kuchukua mawazo yako, energy yako.

Au hata bila mpenzi mpya, ukae mwenyewe tu unafikiria mambo yako, kazi zako, biashara yako, masomo yako. Bila kuunganisha maisha yako na huyo mtu.

Ukimfikiria mtu mliyeachana ukataka ajutie kukukosa wewe, maana yake umeshindwa ku move on.

Kiukweli unakuwa bado unam miss huyo mtu kama alivyoimba Harmonize katika wimbo wake wa "Furaha"

"Kale ka distance, baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on"

Yani unashindwa ku move on, unam miss huyo mtu.

Kimoyomoyo bado unasema "Furaha yangu ni wewe" 😂😂😂


View: https://youtu.be/PrnFmLMZGJQ?is=YHflEicF_0Pu2EqN
 
Bado kakukaa kichwani mpaka unataka ajutie kukukosa.

Kama unafikiria lesson uliyojifunza tu, huna haja ya kutaka kumfanya ajutie kukukosa.

Kila dakika unayotumia kufikiria njia ya kumfanya ajutie kukukosa ni dakika unayomruhusu akuumize tena.

Unafikiria "Yule kwa nini kaniacha? Nitamkomesha, atajuta".

Hapo tayari unaumia kuachwa, ujue usijue, unaumia kuachwa.

Endelea na maisha yako bila kumfikiria.

Na kama umeshindwa, kubali tu kuwa huwezi kumsahau.

Lakini kutaka ajutie kukukosa ni roho mbaya, ni kuwa king'ang'anizi, ni kumtakia mtu mabaya wakati huko naye na wala mabaya hayo hayakufaidishi kitu.

Fikiria mawazo yako kama energy, na kuyatumia kumfikiria huyo mtu ni kutumia energy kwake.

Unatakiwa kujipanga upya, na mpenzi mpya, na huyo mpenzi mpya ndiye anatakiwa kuchukua mawazo yako, energy yako.

Au hata bila moenzi moya, ukae mwenyewe tu unafikiria mambo yako, kazi zako, biashara yako, masomo yako. Bika kuunganisha maisha yako na huyo mtu.

Ukimfikiria mtu mliyeachana ukataka ajutie kukukosa wewe, maana yake umeshindwa ku move on.

Kiukweli unakuwa bado unam miss huyo mtu kama alivyoimba Harmonize katika wimbo wake wa "Furaha"

"Baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on"

Yani unashindwa ku move on, unam miss huyo mtu.

Kimoyomoyo bado unasema "Furaha yangu ni wewe" 😂😂😂


View: https://youtu.be/PrnFmLMZGJQ?is=YHflEicF_0Pu2EqN

Hii mada mbona imechukuliwa kimahusiano hivo 😊.

Hii ni kuhusu mahusiano yote ya Kindugu,kijamaa na kimahusiano. Msiegemee upande mmoja.

Hakuna anaesumbuliwa na Mapenzi hapa.
 
Hii mada mbona imechukuliwa kimahusiano hivo 😊.

Hii ni kuhusu mahusiano yote ya Kindugu,kijamaa na kimahusiano. Msiegemee upande mmoja.

Hakuna anaesumbuliwa na Mapenzi hapa.
Yani hoja iko pale pale hata kama unayemzungumzia ni baba yako mzazi na mahusiano ni ya kifamilia.

Hoja ya msingi haibadiliki.

Hoja ya msingi ni wewe kuweza kuendelea na maisha yako bila kutaka huyo mtu ajutie kutokuwa nawe.

Yani wewe unakuwa kama mteja ambaye hawezi kuishi bila madawa ya kulevya.

Tofauti ni kwamba mteja anategemea madawa ya kulevya, na wewe unategemea huyo mtu ajutie kutokiwa nawe.

Wote wawili ni wateja tu.

Acha kuwa mteja, endelea na maisha yako bila kitaka mtu ajutie kutokuwa na wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom