How to make Someone Regret Losing you......

How to make Someone Regret Losing you......

Mtu asiyethamini watu hiyo ndio tabia yake and you can do nothing about it.

You just leave na uishi maisha yako as long as hao watu unaotaka ajifunze kuwathamini hautakuwa wewe tena
Okay dear.
Ni kweli Kabisa.
Malalamiko sio mpango 😜
 
Eeh, umenunua second chance kwa bei gani sasa? 😂 Kama ni over your dead body, basi ngoja kwanza nikupime kama unanipenda kweli au ni maneno tu.😊
at any cost darling,
i'm only waiting your word on that price.

unatumia kipimo gani sasa mama kunipima? I want you to be back in my heart, early as soon as possible.

Plz usitumie basi kipimo kama kile cha kupimia El nino, utachelewa kuingia ndani yangu, nami kuingia ndani yako darling, na hatimae kua mwili moja,
na tazama ya kele yote yatapita na hatimae yamekua mapya 🐒
 
My test is simple darling,nataka nione kama you can take care of me, hususan kwenye kunihudumia🔨 kunijali na kuniheshimu😜

Kama ukipita hapo, my heart will open for you 💖.
 
JamiiForums ni maajabu. Mada inaletwa kwa lugha ya Kiingereza ambayo imekopiwa mahali ila majibu ni ya kibantu sijui wabantu wameelewaje.
hiyo ni kimaanisha kwamba wabongo wanakijua na kukielewa zaidi kiingereza na ndio maana wanatumia zaidi kiswahili katika kuyaelezea madhui yaliyoandaliwa kwa kiingereza 🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom