Memory remainmemories
Bila shaka hao wanatafuta teuzi. Ila kuna wengi ambao wapo tofauti na wao vilevile.Nilimaliza chuo nikiwa mwanafunzi bora wa mwaka wangu. Wakanipa ofa ya kubaki niwe lecturer. Nilikataa kwa sababu sikuona kama ualimu ni wito wangu. Fast forward, kuna malecturer wamenifundisha chuo sasa hivi ni machawa wa CCM. Nimetokea kuidharau sana hiyo kazi kwa sababu yao.
Fursa ni general term, ila ajira zake zinatangazwa tu Utumishi kwa Vyuo vingi (Vikuu na vya kati), ila ukiwa kazini fursa kuu ni kushiriolki research & consultant, mshahara kupanda ni rahisi ukiwa na masters kwenda juu maana kila ukiandika paper unapata points ambazo zinakusaidia kupanda daraja, sasa ukiwa huko kila ukiwasupervise Wanafunzi final year research unaipublish as co-author unapata points, muda wa kufanya mambo mengine upo sana coz unaingia Chuo muda wa kipindi chako au unless kama una Cheo mfano HOD au HOS, kusahihisha unalipa, kusimamia mtihani unalipwa, kwenda kusupervise Wanafunzi field unalipwa, nk nk nk,Fursa na changamoto kwa ujumla
Mtu mwenye PhD anaweza kukunja ngapi kwa mweziWahadhiri wanakunja mkwanja mrefu sana.
Basic 4-6 Mil.Mtu mwenye PhD anaweza kukunja ngapi kwa mwezi
3M + sasa jiulize hapo unapata mishahara ya watamisemi wangapiMtu mwenye PhD anaweza kukunja ngapi kwa mwezi
Sawa kumbe wanamishahara minono3M + sasa jiulize hapo unapata mishahara ya watamisemi wangapi
UbarikiweMada nzuri sana,nikiwa kijana mdogo nilianza kupenda fani hiyo,hasa nilipowasikia wakina prof Baregu,shivji,kahigi na wengine wengi..
Mfumo wa kutochukua TA vyuoni umeua ndoto za wengi sana...kuhusu maslahi nadhani ni mazuri sana ukifanya ulinganifu wa mishahara bila posho,sababu TA huanza na basic ya 1.8 na AL huanza na 2.8 hivyo si pabaya,shida ni kuwa serikali haijaweka kipaumbele huko sababu kiukweli PhD hapaswi kufundisha undergraduate na nini degree programs ila tz inafanyika sana.
Ni kazi nzuri naipenda sana.
Unakosea sana,uhadhiri ni kazi nzuri sanaNilimaliza chuo nikiwa mwanafunzi bora wa mwaka wangu. Wakanipa ofa ya kubaki niwe lecturer. Nilikataa kwa sababu sikuona kama ualimu ni wito wangu. Fast forward, kuna malecturer wamenifundisha chuo sasa hivi ni machawa wa CCM. Nimetokea kuidharau sana hiyo kazi kwa sababu yao.
Minono sana ukilinganisha ni miongoni mwa wanaolipwa vemaSawa kumbe wanamishahara minono
Asante sana 🔥Fursa ni general term, ila ajira zake zinatangazwa tu Utumishi kwa Vyuo vingi (Vikuu na vya kati), ila ukiwa kazini fursa kuu ni kushiriolki research & consultant, mshahara kupanda ni rahisi ukiwa na masters kwenda juu maana kila ukiandika paper unapata points ambazo zinakusaidia kupanda daraja, sasa ukiwa huko kila ukiwasupervise Wanafunzi final year research unaipublish as co-author unapata points, muda wa kufanya mambo mengine upo sana coz unaingia Chuo muda wa kipindi chako au unless kama una Cheo mfano HOD au HOS, kusahihisha unalipa, kusimamia mtihani unalipwa, kwenda kusupervise Wanafunzi field unalipwa, nk nk nk,
Changamoto kuu ni ukiwa na Elimu ndogo kuanzia degree kwenda chini unachukuliwa poa, vishawishi vya Wanafunzi (pesa na mapenzi), expectations kubwa kumbe ni kazi tu ya kawaida, nk nk
Na hapa meneja pale Tanesco wanakuja 8m+ maisha sio poaBasic 4-6 Mil.