Fursa na Changamoto za Uhadhiri vyuoni

Fursa na Changamoto za Uhadhiri vyuoni

Philotheo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
721
Reaction score
973
Hi, ladies & gentlemen 👊

Unajua nini kuhusu fursa na changamoto za uhadhiri vyuoni?

Je umewai kuwa na ndoto ya kufundisha chuo, nini kilikuwa kichochezi kikubwa - na kipi kilikwamisha pengine?

Kuna vijana wengi ukikutana nao maeneo tofautitofauti unaona kabisa hawa ni adhina kwa taifa kama wangepata nafasi sahihi, na watu sahihi, katika mifumo sahihi. Ajabu ni kwamba kuna vijana wengi akili kubwa ila hawapendelei kazi za namna hii.

Hata hivyo sio kila ndoto huenda sawa na uhalisia, wengine pia hufanya mambo mengine. Licha ya kuwa wapo pia wenye uwezo mkubwa lakini hawakuwai kuwa na ndoto hiyo.

Changia chochote juu ya fursa na changamoto anazoweza kuzipitia mhadhiri wa chuo kwa faida ya wengine.
Karibuni
 
Changamoto naona ni malipo kiduchu
Mada nzuri sana,nikiwa kijana mdogo nilianza kupenda fani hiyo,hasa nilipowasikia wakina prof Baregu,shivji,kahigi na wengine wengi..
Mfumo wa kutochukua TA vyuoni umeua ndoto za wengi sana...kuhusu maslahi nadhani ni mazuri sana ukifanya ulinganifu wa mishahara bila posho,sababu TA huanza na basic ya 1.8 na AL huanza na 2.8 hivyo si pabaya,shida ni kuwa serikali haijaweka kipaumbele huko sababu kiukweli PhD hapaswi kufundisha undergraduate na nini degree programs ila tz inafanyika sana.
Ni kazi nzuri naipenda sana.
 
Nipe sababu za kwa kwanini PhD hapaswi kumfundisha undergraduate
 
Mada nzuri sana,nikiwa kijana mdogo nilianza kupenda fani hiyo,hasa nilipowasikia wakina prof Baregu,shivji,kahigi na wengine wengi..
Mfumo wa kutochukua TA vyuoni umeua ndoto za wengi sana...kuhusu maslahi nadhani ni mazuri sana ukifanya ulinganifu wa mishahara bila posho,sababu TA huanza na basic ya 1.8 na AL huanza na 2.8 hivyo si pabaya,shida ni kuwa serikali haijaweka kipaumbele huko sababu kiukweli PhD hapaswi kufundisha undergraduate na nini degree programs ila tz inafanyika sana.
Ni kazi nzuri naipenda sana.
Mimi wakati nasoma chuo sikujua kama kupata hizo kazi ni moto, lakini nilifanya interview za TA hadi nikanyoosha mikono
 
Hi, ladies & gentlemen 👊

Unajua nini kuhusu fursa na changamoto za uhadhiri vyuoni?

Je umewai kuwa na ndoto ya kufundisha chuo, nini kilikuwa kichochezi kikubwa - na kipi kilikwamisha pengine?

Kuna vijana wengi ukikutana nao maeneo tofautitofauti unaona kabisa hawa ni adhina kwa taifa kama wangepata nafasi sahihi, na watu sahihi, katika mifumo sahihi. Ajabu ni kwamba kuna vijana wengi akili kubwa ila hawapendelei kazi za namna hii.

Hata hivyo sio kila ndoto huenda sawa na uhalisia, wengine pia hufanya mambo mengine. Licha ya kuwa wapo pia wenye uwezo mkubwa lakini hawakuwai kuwa na ndoto hiyo.

Changia chochote juu ya fursa na changamoto anazoweza kuzipitia mhadhiri wa chuo kwa faida ya wengine.
Karibuni
Gpa imenikwamisha kufikia ndoto hii ulaaniwe mwalimu uliyenipa sapu semista ya mwisho.
 
Pole sana, kuna TA mmoja tena wa kujitolea kipind hiko, alitufanyiaga mambo ya hovyo alikuwa anatumind na yeye ndo anasahisha test zetu, grp + individual assignments. Akatufanyia ushenzi mwisho wa siku alinifanya nipate C, tena nikakosa 1.5 kupata walau B nilimmind ila baadaye nikamwachilia. Alinichafulia transcript
 
Back
Top Bottom