fursa

  1. Frank Wanjiru

    Likizo ya siku 59 ya watoto: Fursa ya kuwalea watoto wetu, si kuwapumzisha tuu kutoka shuleni

    Wazazi na walezi wenzangu, Watoto wetu wa shule za msingi na sekondari wamefunga shule na sasa wanaingia katika likizo ya siku 59. Ni ndefu mno. Mara nyingi tunapofikiria likizo, jambo la kwanza ni kuhakikisha watoto wanasoma, wanafanya tuition na kujiandaa kwa muhula unaofuata. Hayo yana...
  2. youngkato

    Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  3. Parabolic

    Masauni ktaja biashara ya kaboni kama fursa ya kiuchumi kwa wananchi

    Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini. Masauni amesema kuwa biashara...
  4. TIB RASILIMALI

    FAHAMU FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SOKO LA HISA

    1. UTANGULIZI Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika soko la hisa. Hata hivyo, baadhi ya watu wanapoanza kuwekeza, huwa na matarajio ya kupata faida ndani...
  5. Zack Abdul

    Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  6. Yoda

    Uarabuni kuna fursa nyingi sana za maisha

    Uarabuni Kuna fursa nyingi sana za kazi, kama umesoma na hupati kazi Tanzania nenda Uarabuni, tena kama ni Muislamu ndio mambo yanakuwa rahisi zaidi na unaweza kujipatia hata mke au mume Mwarabu huko. Huwa nashangaa kumuona Muislamu msomi wa degree, diploma au VETA anahangaika na ajira...
  7. Zack Abdul

    Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  8. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  9. A

    Vyuo kama UDSM tumieni fursa ya AFCON kupata pesa

    Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP). Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
  10. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  11. youngkato

    Gari likiharibika, mwenye gari anaona tatizo, lakini mfanyabiashara wa vipuri anaona fursa!

    BIASHARA YA VIPURI VYA MAGARI NA PIKIPIKI: FURSA YA KUJIAJIRI TANZANIA Gari likiharibika, mmiliki anaweza kuahirisha safari, lakini hawezi kuendelea kulitumia bila kurekebisha tatizo. Hapo ndipo fursa ya biashara ya vipuri inapoanzia! Biashara ya vipuri (Selling Spare Parts) inahusisha kununua...
  12. N

    JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui

    JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui JamiiClub, bidhaa mpya rasmi na sasa inapatikana kwenye Google Play Store. Watumiaji wanaweza kuipakua na kuanza kuitumia. JamiiClub inalenga kutoa suluhisho mbadala katika huduma za mitandao ya kijamii...
  13. Pfizer

    Bandari Mbamba Bay yafungua fursa za ajira, biashara

    Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78. Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
  14. youngkato

    Je, Gemini AI Inaweza Kukusaidia Kupata Kipato? Hizi Ni Fursa Ambazo Wengi Hawajaziona.

    Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia. Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
  15. L

    Ujuzi wa ufugaji nyuki kutoka China wafungua fursa mpya kwa wanawake wa Kenya

    Grace Cheserem, mwenyekiti wa kikundi cha wanawake cha Lelkolo katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya, bado anakumbuka mavuno yake ya kwanza ya asali mwaka 2022. Katika jamii za eneo hilo, kwa muda mrefu ufugaji nyuki ulionekana kuwa ni kazi ya wanaume, mizinga ya asili iliwekwa juu kabisa kwenye...
  16. TANAPA

    Serengeti kuwa kitovu cha utalii wa michezo Afrika, uzinduzi wa uwanja wa gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya za kiuchumi

    Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
  17. Roving Journalist

    Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  18. Gospel KTV

    Fursa kwa Wataalamu na Wanafunzi wa Chemistry Canada, Professional Ethics for Chemists – Fall 2026

    📢 FURSA KWA WATAALAMU NA WANAFUNZI WA CHEMISTRY CANADA 🇨🇦 Kozi ya Professional Ethics for Chemists – 2026 Association of the Chemical Profession of Alberta (ACPA), Canada, inakaribisha wataalamu, wahitimu na watu wanaojihusisha na taaluma ya Chemistry kujisajili katika kozi ya Professional...
  19. Jemima Mrembo

    Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  20. Zack Abdul

    AMANI NA UTULIVU KIVUTIO CHA FURSA YA MIKUTANO YA KIMATAIFA NCHINI"

    Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa. Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Back
Top Bottom