Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4.
Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
Huku Yombo tunachangamoto ya umeme, mfano wanaweza kukata kuanzia Saa 12 Asubuhi wakakata hata mara nane kwa staili ya kukata na kurudisha, hii si sawa wataunguza vyombo vya watu.
Kwa sasa changamoto ndiyo imeongezeka zaidi. Mfano juzi kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa 6 Usiku umeme umekatika...
Anonymous
Thread
changamoto
hata
kukata
kurudi
mara
siku
tuna
umeme
Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani
Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget
Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake.
Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
Anonymous
Thread
changamoto
electrical
electrical installation
ewura
hizi
leseni
mfumo
zao
Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
Kuna changamoto kati ya Walimu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Butiama dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya wilaya.
Walimu wanachama tumekuwa tukilalamika kuhusu matumizi mabaya ya mali za chama na wanachama kutosikilizwa changamoto zao na Chama.
Tarehe 01/11/2026...
Anonymous
Thread
chama cha walimu (cwt)
changamoto
viongozi
wanachama
wilaya
Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau.
Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
Naomba Mamlaka zifuatilie suala linalohusu mkanganyiko wa maelekezo kuhusu kufungwa kwa shule kufuatia tahadhari ya mvua za El Niño.
Kufuatia tamko la Serikali kuhusu kufungwa kwa shule, kumekuwa na taarifa zinazohitaji ufafanuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
halmashauri
kilosa
mkanganyiko
shule
wilaya ya kilosa
Hapa akili kubwa iko kazini
Kama ni darasa la tatu D , tikisa kichwa sana kwanza kabla ya kukitumia.
Iko hivi, pale unapoingiza miguu au kichwa kwenye hii dunia, changamoto zinaanza chap kwa haraka. Mwenye hii dunia hapoi wala hachoki, he wired this world kwa namna ambayo hautakaa upate raha...
Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana
Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba.
Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
Anonymous
Thread
changamoto
matokeo
mazuri
msingi
shule
shule ya msingi
walimu
Habari wana JF!
Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa?
Ni changamoto gani kubwa mnayokutana nayo katika mchakato huo, na kwa mtazamo wenu, mnadhani ni mbinu au mfumo...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuomba
kuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
Loan Officer jaman hasikilizi wanafunzi wenye changamoto za mikopo anamajibu yasio sawa kabisa, mara aseme muda wa kusikiliza wanafunzi umeisha, mara aseme hana utatuzi.
Siku nyingine tunaondoka tumechoka, naomba mfanye uchunguzi kwa kuwauliza wanafunzi au hata kujiunga na magroup ya mikopo...
Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008.
Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja akieleza “Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu, Watu wanaganda kwenye foleni”, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepokea na litafanyia kazi hoja hiyo.
Hoja ya Mdau ~ Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro...
Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027).
Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
Anonymous
Thread
changamoto
course
heslb
kupokea
kutoka
mfululizo
miaka
mikopo
wanafunzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.