TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

Basi usifurahie kuwa na changamoto hio kama ni kweli itakutesa mkuu.
Mimi nimemaliza MD kitambo kidogo lakini kipindi Nilivyokuwa internship mtwara hospital x nilianza kuumwa mara naota natoa tiba au natibia watu. baadae nkaambiwa huyu anatakiwa awe mganga wa jadi.
Kijana nashukuru mungu mzee wangu haamini katika hayo mambo alisema ni heri akafa kuliko kuwa mtu wa namna hio.
Alipambana na kutoa pesa mbaka Sasa nna miaka 5 ni mzima kabisa.
Lakini nnachopenda kukwambia usitamani kabisa hayo mambo utateseka vibaya sanaaa.
Mimi sielewi kwakweli.

Edo Bashir yule mtangazaji wa Iringa miezi michache nyuma nimemfatilia kiasi nikawa naona kuna kitu hakiko sawa na hakuwa mgeni kwangu ninamfahamu kwa sababu nimewahi kuishi kule amefariki

Ndodi the same
Na kuna wengine ambao si maarufu yani hadi kuna namna nafikiria watu kwenye hiyo njia sanaa
 
Mambo ya tiba mmbadala walianzaga kina mama terry, naye sijuwi yuko wapi?

Ova
 
Dah mtu ambaye tulitegemea atoboe na 70 kwa sababu ya kuzingatia Afya Na vitu vya asili anakufa Na 50
 
Back
Top Bottom