habari wana jamvi
Kumekuwa na malalamiko mengi katika jamii kuhusu mabadiliko ya tabia, mwenendo, heshima, uwajibikaji na misingi ya malezi katika kizazi cha sasa.
Baadhi ya watu wanaamini kuwa kizazi cha sasa kimepoteza maadili kutokana na athari za mitandao ya kijamii, mabadiliko ya...
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo.
"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana...
Jambo gumu, utapoteza marafiki, utalaumiwa na wanaharakati, utalaumiwa na wanasiasa, vidole havikubali vitataka kuttype ktk social media. Jambo Zito.
Lakini Fatma Karume amefanikiwa, hivi sasa amejikita zaidi ktk kumtumikia muumba wake, kuitafuta akhera yake na kuipa kisogo dunia. Ameiepuka na...
Miili ya watu 23 waliofariki katika ajali ya basi la Maokoto Bus Services kugongana na lori la mizigo itaagwa mchana wa leo, Novemba 10, 2026, katika Kijiji cha Kiponzelo, Tarafa ya Kiponzelo, Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa.
Diwani wa Kata ya Maboga, Venslaus Muyinga amesema hayo leo, Novemba...
Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na hatia!
Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu!
exception...
Benki ya Dunia (World Bank) imeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya ufisadi katika kundi la mataifa yenye kipato cha chini cha kati, ikionya kuwa rushwa, mikataba ya serikali yenye utata na usimamizi mbovu wa fedha za umma vinaendelea kuathiri uchumi wa taifa.
Katika...
Dunia nzima inalipia gharama ya vita walivyovianzisha Trump na Netanyahu dhidi ya Iran. Gharama za maisha zimepanda duniani kote kwaajili ya Trump kumlinda Netanyahu na bahati nziri watote wamepata pigo kwenye chaguzi zao za hivi karibuni; wameshindwa kupata wingi wa wabunge na masenata.
Mungu...
Benki ya Dunia (World Bank) imeibua maswali kuhusu gharama kubwa za umeme nchini Kenya, ikihusisha hali hiyo na mikataba ya gharama kubwa, ukosefu wa uwazi na changamoto za uongozi katika sekta ya nishati.
Katika ripoti yake ya Kenya Economic Update iliyotolewa Novemba 2026, Benki ya Dunia...
Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili.
Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi
Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi.
Yale yale alioyachambua ndio yametokea.
Jamaa yupo vizuri sana kichwani
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Kleruu, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 54 amefariki Dunia baada ya kuangukiwa na mti.
Tukio hilo limetokea katika Kijiji Cha Mulama katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, ambapo mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu aliitwa kwenda kuvuta...
Leo Jf kumepoa sana hakuna mada wala mijadala ya maana.
Gaddemit!!!
Wazee wa kusuuza koo UBWYB!!!
📌NIPO KATI NA KATI NIFATE USHAURI WA Dr.KISENG AU Dr.Janabi😣😣😇
#Mimi na chui🐯 bado sana kuachana🫂
Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa...
Labda wale wenye rika la...
Wana-JamiiForums,
Kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito, ninawataarifu kuhusu kifo na mazishi ya mzee wangu mpendwa, Mzee Wilinasi Mwendawila Sikanyika, aliyefariki dunia tarehe 25 Oktoba 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (iliyopo Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoa wa Mbeya) akiwa na...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MWIMBAJI na mtunzi wa nyimbo Mtanzania, Malaika Gray, ameanza safari yake rasmi ya muziki kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, My Fever, akimshirikisha nyota wa Bongo Flava, Marioo.
Wimbo huo uliotoka Oktoba 30, 2026, umeandaliwa jijini Dar es Salaam, ambako pia...
Yerevan, Armenia. Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuimarisha utekelezaji wa vitendo wa ajenda ya dunia ya hifadhi ya bioanuai, ikieleza kuwa upatikanaji wa fedha za uhakika, kuimarishwa kwa uwezo wa kitaasisi na ushirikiano wa kimataifa ni nguzo muhimu katika kufikia malengo ya uhifadhi na...
Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini?
Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.